Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye ametaka kuundwa kwa Bodi ya Korosho ambayo haijakuwepo kwa miaka mitatu akihoji, nini lengo la Serikali na zao hilo?
Akiwa Bungeni amesema, "Zao ambalo linaongoza kuingiza Fedha nyingi za kigeni Nchi hii mwaka wa tatu hakuna Bodi. Mkurugenzi yupo anakaimu...