Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER.
USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi.
Halafu ukienda ofisini kwako pale...
Mpaka pale Board ya mikopo itakapo chapisha majina ya hao wadaiwa sugu na mwaka waliomaliza na chuo walichosoma na digrii walizosoma, ndo tutaamini hawakua mafisadi
Kuna taarifa kuwa walikuwa wakitoa mikopo hewa kwa wakopaji hewa zikiingia mifukoni mwao
Waweke list ya hayo majina na kiasi...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Juni 28, 2024) imezindua Kampeni Maalumu inayolenga kuwashirikisha wananchi kwa kutumia simu na mitandao ya kijamii, kuwafichua wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu.
Kampeni hiyo, inayofahamika kama Fichua imezinduliwa jijini...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2024/2025, Serikali imetenga kiasi cha sh. bilioni 787 kwa ajili ya kukopesha wanafunzi 250,000 wakiwemo 80,000 wa shahada ya kwanza ambao ni wapya.
"Maandalizi ya awali yameanza ikiwa ni pamoja na kusambaza mwongozo wa upangaji na utoaji...
Kutokana na ukosefu wa ajira katika nchi yetu ,Elimu ya ufundi stadi imekuwa mkombozi wa vijana wengi sana ndani ya nchi yetu kwani wamejengewa uwezo wa kazi mikononi mwao lakini uwezeshwaji wa vijana kimitaji ili waendeleze shughuli zao za kiufundi kwa kufungua karakana zao binafsi na kufanya...
anthony mavunde
bodiyamikopoelimuyajuu
fani
kisasa
kuendeleza
kuwawezesha
mfano
mfumo
mitaala
nyenzo
serikali
teknolojia
ufundi
veta
vijana
vyuo
wahitimu
wahitimu wa vyuo
wizara yaelimu
zao
Wahitimu waliomaliza elimu ya juu kwa kupata mkopo kutoka bodi ya mikopo kutwa wanabanwa kurudisha mikopo hiyo wakati wengi wao wanahangaika mtaani bila ajira wala shughuli za kufanya.
Wakati ukiangalia upande mwingine kuna ubadhirifu mkubwa unafanywa serikalini, viongozi wanaiba mabilioni kwa...
Habari wadau.
Naongea na watu wa bodi ya mikopo HESLB. Vijana wetu wanaenda kuomba mikopo kwenye website yao na hakuna msaada. Kwa mfano wamehitaji namba ya NIDA kwa hawa vijana. Baadae wanasema ni lazima Ufanye attachment ya kitambulisho cha NIDA.
Watanzania kibao wana namba. Ok basi itokee...
Haya ni Maoni Yangu, kwa mtazamo wangu naona Hili swala linaumiza sana watoto wa walala hoi kwanini Bodi ya mikopo Elimu Ya Juu inaendesha mambo yake kwa ahadi za kisiasa sana.
Kwenye briefing zao na taarifa ambazo huwa wanazisoma mbele ya media huwa zinajaa mbwembwe sana kuwa tuna hela Tayari...
Kuna kiini macho kikubwa sana ambacho waTanzania hatujakigundua katika utoaji wa mikopo kutoka Bodi ya Mikopo.
Anayepewa mkopo huo ni Mwanafunzi lakini tathmini ya uhitaji wa kumpatia mkopo Mwanafunzi huyo anafanyiwa mzazi wake. Hii ni sawa na kusema kuwa Mzazi ndiye alipaswa kuomba huo mkopo...
Leo nimeenda ofisi ya loan board ya chuo kikuu kwenda kudai statement. Nimekuta wanufaika kibao wanalalamika huduma mbovu loan board. Mtu unaenda kudai statement unaambiwa subiri ndani ya siku 7.
Sasa nimekuta watu wanalalamika wamekuja kila wiki hawapewi statement na huduma hawapati. Na...
Kuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo Mh Rais aliagiza zifutwe.
Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt.
Kama ilikua siasa tu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuzitoa pia tuambiwe.
Samahan wadau,
Kumekuwa na link inyosambazwa https://olas.heslb.go.tz/index.php/olas/user/register/repay?t=2 ukiingia inaonyesha deni tofauti na lile lililopo kwenye salary slip kwa wale walioanza kukatwa.
Je, hii ina maana gan? Kuna marekebisho tusubiri au huu mfumo hauna correlation na...
Habari za mda huu wakubwa,
Nilikuwa naomba ufafanuzi kuhusu huu utamaduni mpya ulioanzishwa mwaka jana na serikali ya hayati magufuli ya kukata pesa ya mwisho ya kujikimu kwa kisingizio cha Corona sasa napenda kufahamu je safari hii nini kimepeleakea hilo?
Je, Rais samia ameamua kuiga...
Bodi ya mikopo Elimu ya juu nchini husitisha kutoa Huduma kwa muda wa saa nzima, hutumia lisaa zima kwaajili ya kula, wakati huo huduma husitishwa mpaka watakaporudi, hii imeekaje huko kwingineko katika taasisi za umma?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.