Kwenye gazeti la leo la Mwana Habari pana habari inayosemeka 'Rais Samia apeleka kicheko elimu ya juu'.
Habari hii inahusu mikopo kwa wanafunzi wa vyuo.
Kwa kweli nimefadhaika mno kwani niña binti ambae kateuliwa na Chuo Kikuu cha Dar es Salamm (UDSM) kwa mwaka wa kwanza.
Tarehe 4/09 nililipa...
OLAMS ya Bodi ya Mkopo haikubali kukamilisha kutuma maombi kwa njia ya mtandao.
Mwanafunzi amejaza kilakitu na ameambatanisha kila kitu lakini mfumo huo uko doro kabisa. Kiasi wametafutwa kushughilikia mfumo ili wanafunzi wa DIPLOMA wakamilishe maombi yao jamaa hawajigusi hata kidogo.
BODI YA...
Jamani ndugu zangu, kwa yeyote mwenye namba ya simu ya Bodi ya mikopo (HESLB) inayopatikana kwa urahisi anisaidie ili niweze kufanya mawasiliano nao; Huu mfumo wa kutuma maombi unanichanganya sasa!!!!
Nashindwa kuelewa hivi wadau JF ni saidieni hivi kwa continous student mkopo huwa unabadilika maana nimejaribu kuingia kwenye account yangu nakuta mambo tofauti na awali pesa walizoniwekea miaka yote nitofauti kabisa yaani wamepunguza kabisa yapo masifuri je shida hii continous student...
Nafahamu mpaka sasa upangaji wa mkopo kwa wanafunzi unasuasua japo mnaeleza pesa mnayo bil 570 wanafunzi nusu ya zaidi ya waliomba hawajui hatma yao (mnachelewa).
Kupanda na kushuka katika maisha ni jambo la kawaida kwa mfano familia ya mzee kiyoyozi miaka 20 nyuma ilikua nakipato kizuri na...
Uki log in account yako ya HESLB utaona kama kuna masahihisho yoyote unatakiwa kufanya.
Mfano cheti cha kuzaliwa hakijawa verified Rita watakueleza verify then submit.
Mpaka dakika hii bado hawajawezesha button ya Ku resubmit document uliyokosea wanasema mpaka wiki ya kwanza ya October ndio...
Likija suala la mawasiliano katika hizi tasisi za umma ni kikwazo kikubwa sana pamoja na ukuwaji wa TEHAMA ila bado ni tatizo.
Bodi ya mikopo elimu ya juu Wana ofisi zao za Kanda wameweka na mawasiliano yao haya waapigie Sasa sm hawapokei akipokea unasikia sio ofisini.
Haya bodi wenyewe makao...
Hello Wadau!!
Tumekuwa na tatizo la upatikanaji wa Kilipia Mshahara (Salary Slip) kwa miezi kama miwili mfululizo
Hatimae mwezi June Salary Slip zinapatikana kwa mtandao
Nilichokiona ni kuongezeka kwa deni la Bodi ya Mikopo (HESLB) kwa zaidi ya 100%
Hiki kinanifanya nijiulize
Mosi, ni...