Akiwa anaongea na waandishi wa habari Mpina amesema amepeleka mapendekezo yake kwa Mwenyekiti wa Kamati ya PAC pamoja na kwa Spika akiomba aliyekuwa Waiziri wa Nishati January Makamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande, Bodi ya TANESCO na Mkurugenzi wa kampuni ya Arab Contactors...