bodi ya ttcl

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Silaa aitaka Bodi ya TTCL kuandaa Mpango Kazi wa Kujiendesha Kibiashara

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb), ameiagiza Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kuandaa mpango kazi utakaowezesha shirika hilo kujiendesha kibiashara. Waziri Silaa ametoa maagizo hayo leo tarehe 16 Desemba, 2024 wakati akizindua Bodi ya...
  2. Mindyou

    Waziri wa Habari na Mawasiliano Jerry Slaa ateua wajumbe 6 wa Bodi ya TTCL

    Waziri wa Habari, Mawasiliano, na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb), ameteua Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa mujibu wa Sheria ya TTCL ya mwaka 2017, Kifungu cha 7(2)(3) kikisomwa pamoja na Kipengele cha 1(1) cha Jedwali la Sheria hiyo...
  3. Influenza

    Baada ya Wenyeviti kuondolewa, Waziri Jerry Silaa avunja Bodi za TTCL, Shirika la Posta (TPC) na UCSAF

    TAARIFA KWA UMMA Kufuatia Utenguzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania uliofanywa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 23 Julai, 2024, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa...
  4. Mhafidhina07

    Kuna anayejua sababu ya kutenguliwa kwa hawa viongozi? Karibu utujuze

    Nadhani kuna jambo halipo sawa, kuna baadhi ya watu wanakonekti doti ya TCRA kutoa pongezi kwa nape ila nadhani ni beyond to the point. Nadhani kimbelembele cha Ridhwani kuhangaika na mambo ya kimataifa wakati hajaweza kuleta impact yeyote kwa Tanzania especially kipindi kile anahangaika na...
  5. Jaji Mfawidhi

    Pre GE2025 TTCL, TCRA, Posta, UCSAF na PDPC watoa ujumbe wa kwaheri kwa Nape baada ya kutenguliwa

    Jumapili wakati Nappe akigawa Tuzo Mlimani City na mkewe akiwa kitandani anamsubiri arudi nyumbani, alitenguliwa na hakuna sababu zilizotolewa na Rais kwa utenguzi huo. Mashirika aliyofanya Nape akiwa kama waziri yametoa pongezi na kujifanya wanajua sababu wakati rais pekee ndiyo anajua sababu...
Back
Top Bottom