TANZANIA TUITAKAYO KUTANGAZA UTALII KWA NJIA YA KADI.
Huu ni ubunifu wangu kwenda sekta ya utalii Tanzania kwa kutumia kadi ya mwaliko, Je kadi mwaliko ni nini? Ni kadi maalum itayotolewa au kutumwa kwa familia za watu maarufu duniani kama wanamichezo, wasanii na wana habari wa nje ya Afrika...
Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.