Tuache kuumizana ,kuuana kutekana kwa sababu tu ya vyeo vya Duniani au utajiri mdogo tulio nao.Tukumbuke kuna anayetupa pumzi anatusubiri.
Emilio Mwai Kibaki alipokuwa anamuaga Daniel Toroitich Arap Moi na Emilio Mwai Kibaki akiwa amelala katika wafu.
Wakati wa urais wa Moi ,redio ya Kenya...