bollen ngetti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bollen Ngetti yuko wapi?

    Jamaa anaitwa Bollen Ngeti kada wa CCM aliyekuwa anamkosoa Hayati Magufuli wakati wa utawala wake, mfuasi wa Membe na alikuwa anaibua hoja jadidi na kuntu, yuko wapi? Nimejaribu kutazama mitandaoni nafikiri mara ya mwisho kuandika jambo ilikuwa 2019 yuko wapi?
  2. D

    Uzinduzi Kitabu cha Edward M. Sokoine: Tafakuri ya Bollen Ngetti

    C&P from Face Book. THE RIGHT THING AT THE WRONG PEOPLE, IDIOT! Na Bollen Ngetti 0748 092092 KUNRADHI kwa kuteua kichwa cha andiko hili kuwa katika lugha ya kikoloni. Shabaha ni namna tu ya kufikisha ujumbe uliokusudiwa. Naam! Nilikuwa miongoni mwa mamia ya watu waliohudhuria uzinduzi wa...
  3. D

    Kuhusu kuuawa Hayati Mzee Ali Kibao, Mwandishi nguli wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti ameandika haya, inafikirisha!

    C&P from Face Book. KUTEKWA, KUTESWA, KUUAWA KWA ALLY KIBAO, TUSAIDIANE KUTAFAKARI Na Bollen Ngetti SOMA lakini kwa tafakuri pana labda tukajua ukweli walau kidogo si wote katika giza hili lililofunika kutekwa, kuteswa na hatimaye kuuawa kikatili Mzee Ally Muhammed Kibao al-maarufu MeD...
  4. D

    Anaandika kada mtiifu wa CCM Bollen Ngetti, ana hoja!

    C&P RAIS na Mwenyekiti wangu wa chama hongera kwa majukumu bila mapumziko ya maana. Mambo ni mengi yanaendelea hapa nchini yanayoweza kuikwaza chama katika chaguzi zijazo. Most. Suala hili la watu kutekwa na kupotea tena tena likijiita ni "Kikosi Kazi Maalumu" inayopambana na wakosoaji wako...
  5. Dar: Mwandishi Bollen Ngetti adaiwa kutekwa tena na watu wasiojulikana; apatikana

    Ikiwa ni siku 4 tangu Afisa Programu na Elimu kwa Umma wa LHRC, Tito Magoti ‘atekwe’ na wasiojulikana, kuna taarifa kuwa mwandishi Bollen Ngeti naye ametekwa na wasiojulikana leo maeneo ya Msasani, Dar POLISI: HATUNA TAARIFA UTEKWAJI WA MWANDISHI. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…