bolt driver

  1. K

    Madereva wa Bolt tuunde umoja wetu nasi tusikilizwe

    Madereva wa Bolt wote hapa Tanzania kuna haja ya kuunda umoja wetu ili nasi kwa pamoja tusikilizwe changamoto zetu maana changamoto tunazopitia ni nyingi ila tunashindwa kupewa kipaumbele kwasababu hakuna anaepaza sauti kuhusu hizo changamoto. Changamoto hizo ni kama: (1)Kiukweli Bolt inampa...
  2. X_INTELLIGENCE

    Njoo uifahamu Taxi Mtandao BOLT/UBER

    Ndugu zangu mnaopambana na maisha Leo nawaletea fursa Kwa vijana wanawake na wanaume ambao mna Leseni ya udereva mnaweza kuendesha gari/pikipiki. PIKIPIKI ni ajira acheni maneno ya Lema aliesema kuwa bodaboda sijui ni LAANA. Mimi niwaondoe hofu kuwa bodaboda ni ajira kana ajira nyinginezo. Kwa...
Back
Top Bottom