Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada.
Huduma ya Bolt ukititokea unataka kuwasiliana nao labda umepoteza kitu au una malalamiko kwenye huduma yao, hakuna chaguo la kuwapata moja kwa moja kwa njia ya simu kwanini? Wanakimbia nini?
Yaani wameweka njia ya kuwasiliana nao kwa njia ya email...