bomoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Michoro ya X na maandishi ya bomoa bomoa barabara ya Chamazi Mbande ni uhalibifu wa pesa za walipa Kodi

    Meneja wa TAN ROADS uliwatuma watu wakachole bomoa bomoa katika majumba yote yanayosemekana yapo barabarani na Nina uhakika hi kazi wale walioifanya hakufanya Bure ila walilipwa pesa nyingi tu Hivi Sasa watu wamegundua kuwa ule ulikuwa usanii na watu wameanza kujenga Kwa Kasi katika hayo hayo...
  2. S

    Bomoa bomoa Kimara Mwisho-Bonyokwa zimeanza tena

    Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara. Barabara tunaipenda ila ni walipe...
  3. Bomoa bomoa Iringa ni hujuma dhidi ya Rais Samia au ni udhaifu wa CCM Iringa

    Jana tarehe 13/06/2023 Saa kumi jioni Mkuu wa MKoa wa Iringa anatoa Masaa 48 kwa wafanyabiashara wasio maeneo rasmi ya Biashara waondoke kwa hiyari yao ama wataondolewa kwa nguvu baada ya muda huo kupita. Masaa 12 baadae (saa kumi usiku) vyombo vya dola vinaongoza bomoa bomoa eneo la Magari...
  4. SoC03 Bomoa bomoa ya makazi kilio cha Watanzania

    BOMOA BOMOA YA MAKAZI KILIO CHA WATANZANIA Utangulizi Bomoa bomoa ya makazi imekuwa ni kilio kikubwa kwa watanzania. jambo ambalo limesababisha adhali nyingi sana kwa wananchi na kupelekea wengi wao kukosa makazi kwa kubomolewa makazi yao na kuangukia kwenye umaskini wa kupindukia...
  5. Kwa waliowahi kupatwa na bomoa bomoa ya makazi tupeni uzoefu

    Habari wa na JF, Swala la bomoabomoa ni moja ya jambo linaloweza kuathiri kwa kiasi kikubwa mfumo wa maisha ya mtu...Hizi bomoa bomoa zinaweza kuwa kwa makosa ya mtu binafsi labda kujenga ndani ya eneo lisilo sahihi au upanuzi wa project mbalimbali za serikali. Katika changamoto hii tupeane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…