bomu

The Bo language of West Africa, Bomu (Boomu), also identified as Western Bobo Wule, is a Gur language of Burkina Faso and Mali.
Bomu is spoken by two groups of Bwa people, the Red Bobo, Bobo Wule (also spelled Bobo Oule), and the White Bobo, Bobo Gbe, also known as Kyan (also spelled Kian, Tian, Tyan, Can, Chan) or Tyanse.

View More On Wikipedia.org
  1. Martha Karua atoa wito wa kulipwa fidia kwa Waathiriwa wa Bomu lililolipua Ubalozi wa Marekani Mwaka 1998

    Mwanasiasa huyo ambaye ni kiongozi wa Chama cha Narc-Kenya amesema wakati umefika wa Serikali za Marekani na Kenya kuwa na mazungumzo ya mwisho kuhusu malipo hayo ya walioathiriwa na tukio lililotokea Agosti 7,1998 Jijini Nairobi. Ameyasema hayo katika maadhimisha ya miaka 25 tangu kutokea kwa...
  2. Urusi yapiga bomu ofisi za ubalozi wa China, Ukraine

    Twende tu hivi hivi. China’s consulate building in Odesa has been damaged in a Russian missile and drone attack, a Ukrainian official said. The damage appeared to be minor, regional governor Oleh Kiper said as he posted a photograph showing the building with broken windows. Russia, which is...
  3. Bomu la 3 la Nuclear kutumika duniani muda si mrefu

    Kwa jinsi nchi za ulimwengu unaoitwa wa kwanza zilivyokomaza shingo na kujitoa ufahamu kuhusu mgogoro wa Ulaya mashariki naona sio muda mrefu Dunia itaingia, kwa mara ya pili baada ya miaka mingi, katika matumizi ya silaha ya maangamizi za kiatomiki! MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA! Walisema...
  4. Dkt. Mtahabwa: Wazazi na Watoto wao wawe pamoja na kushirikiana, la sivyo mzazi anajiandalia bomu

    Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa amesema anaiona Tanzania ya neema ya watu wanaojitambua na wanaoshirikiana kupitia Montessori. Kamishna wa Elimu, Dkt. Lyabwene Mtahabwa Ameyasema hayo wakati alipokuwa mgeni rasmi katika Kongamano la 26 la Wana-Montessori Community of Tanzania...
  5. M

    SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  6. M

    SIASA ZA VITA: Imeanza kuzungumzwa kwa dhati kama hapo kabla Marekani haijatumia bomu la nyuklia, kuwa inaepusha mauaji zaidi kwa kutumia nyuklia!

    Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa wakati huo kuwa, ili kumaliza vita hivyo, inabidi aidhinishe matumizi ya bomu la nyuklia (wakati...
  7. Wanajeshi 100 wa Urusi waliokuwa wanasubiri hotuba wapigwa bomu na kuuawa

    Walikua wanasubiri hotuba ya kuwatia hamasa, maskini hawakujua satelite inawaona. =========== As many as 100 Russian troops gathered for a motivational speech near Ukraine’s eastern frontline may have been killed in a strike earlier this week, prompting fury among Russian military bloggers...
  8. Kiwanda cha mafuta karibu na ikulu ya Putin chapigwa bomu ya drone

    Ukraine wanapiga ndani ndani karibu na ikulu ila pia wanakomboa maeneo nyumbani................. 'Ukraine drone' strike hits oil refinery just 80 miles from Putin's palace: Major explosion on tyrant's doorstep as Russia also loses another general amid surging Kyiv counteroffensive Video...
  9. Huduma kwa wateja TANESCO kupitia namba 0748550000 ni Bomu la Nyuklia

    Makamba, Kupiga namba hiyo kupata huduma ya dharura ya TANESCO ni ndoto kupata msaada.
  10. Wanajeshi 7 wa Niger wauawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini

    Wanajeshi saba waliuawa Jumapili baada ya gari lao kukanyaga bomu lililotegwa ardhini katika eneo la Tillaberi magharibi mwa Niger, jeshi la Niger limesema. Wanamgambo wa kiislamu hufanya mara kwa mara mashambulizi katika eneo hilo. Gari lililokuwa limebeba bidhaa za wanajeshi lilikanyaga bomu...
  11. Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

    Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba. Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi. Waziri Mkuu wa...
  12. Bwana harusi afariki dunia akifungua zawadi iliyotegwa bomu

    Bwana harusi Adlyyne Wangusi amefariki dunia baada ya kufungua zawadi ambayo ilikuwa imetegwa bomu na mume mwenza. Bomu hilo lilidaiwa kutegwa na mpenzi wa zamani wa bibi harusi, ambaye alikuwa na hasira kutokana na mwanamke huyo kuolewa na mwanamume mwingine. Taarifa ya Jeshi la Polisi...
  13. Hivi hili bomu kweli viongozi hawalioni? Unemployment rate imekuwa kubwa mno

    Hivi imefika hatua kweli nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya mia moja? Leo nimeenda kufanya interview ya kufundisha hesabu shule inaotwa st James English medium IPO banana kitunda Cha ajabu nafasi moja tu inayotakiwa nimekutana na watu zaidi ya mia tena hesabu. Nimeahilisha sijafanya...
  14. Kuna bomu linakaribia kulipuka muda wowote

    Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha. Juzi nimemuona mtu ana masters anauza nguo za mitumba kwa kutembeza mpaka jioni...
  15. E

    Kitu kidogo tu, Mke analipuka zaidi ya Bomu!

    Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi). Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa. NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia...
  16. DR-Congo: Mkenya akamatwa kwa kuhusika na Bomu lililoua watu 10 Kanisani

    Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini. Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
  17. Somalia: Watu 26 wakiwemo 9 wa familia moja wauawa katika shambulio la bomu

    Tukio hilo limehusisha magari mawili katika Jimbo la Hiraan ambapo Kundi la Al-Shabab likidaiwa kuhusika. Milipuko hiyo iliyokuwa na nguvu kubwa imetokea kwenye gari na katika eneo la soko ambapo watu wengi wamejeruhiwa pia. Al-Shabab wamekuwa wakitajwa kuhusika katika matukio mengi ya aina...
  18. Mahindi ya Msaada Bomu lingine kwa BASHE

    ZOEZI la ugawaji wa mahindi ya msaada limeonekana kulalamikiwa sana na wananchi wengi hasa wa vijiji walilaumu mfumo wa kuyafuata mahindi hayo ama makao makuu ya wilaya au makao makuu ya Kata na kukutana na urasimu mkubwa. Miongoni mwa mambo ya ajabu yanayonekana Bei ya mahindi ni Sh 800 kwa...
  19. Kenya: Watoto wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu

    Bomu lililolipuka Kaunti ya Baringo, imesababisha vifo vya watoto wawili na wengine wakijeruhiwa vibaya. Watoto hao walikuwa wakichunga mifugo yao na walikuwa wakichezea bomu hilo hadi lilipowalipukia. Wanakijiji wameitaka serikali ifanye uchunguzi wa mabomu mengine yaliyoachwa maeneo hayo ili...
  20. Iraq: Askari Polisi 9 wauawa kwa bomu na shambulizi la risasi

    Tukio hilo limetokea Kaskazini mwa Iran karibu na Mji wa Kirkuk ikidaiwa Kundi la IS limehusika. Bomu lililipuka kwenye gari lililobeba askari hao karibu na Kijiji cha Chalal al-Matar, kisha wakashambuliwa kwa risasi, askari wengine wawili wakijeruhiwa. Inakadiriwa kikundi hicho kina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…