Bondia Hassan Mgaya aliyepoteza maisha tarehe 29 December, 2024 baada ya kupigwa TKO.
Baada ya kupigwa TKO alilipwa Tsh 60,000 kama malipo ya PAMBANO hilo
Kiasi hicho kilitajwa na Shehe ambaye alikuwa akitaka vitu vilivyokuwa halali ya marehemu, na kutaja Tsh 60,000 kama malipo ya bondia huyo...