bongo celebrities

  1. W

    East Coast vs TMK Family nani alikuwa mkali?

    TMK Wanaume Family ni kundi la muziki wa kizazi kipya kutoka Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania. Kundi lilianzishwa rasmi mnamo Septemba 16 2002 mjini Mwanza, wakati wa uzinduzi wa albamu ya Juma Nature iitwayo Ugali na hadi sasa limejijengea umaarufu katika albamu zake mbili...
  2. Haya waliyofanya wasanii wetu walioenda Korea siyo sawa kabisa

    Tungefanyiwa sisi tungepiga kelele ubaguzi. Hivi si vichekesho, ni kumock culture ya watu. Ustaarabu muhimu.
  3. Vitu ambavyo sijapenda kutoka picha mpya za Zuchu

    Zuhura sijapenda kabisa. Kwa nini unaruhusu wakuuedit ili kufanya ngozi yako ionekane ni nyeupe Wakati sio kweli, Ivi kwani na wewe unaamini uzuri wa mwanamke upo kwenye rangi ya ngozi yake? Kinini wamekufanya hao Wazungu mpaka ushindwe kujiamini kwa kiasi kikubwa hivi? Licha ya mafanikio...
  4. Mapenzi ya dhati ya Mama Dangote kwa Diamond ndio chanzo kikuu cha mafanikio ya mwanaye

    Miaka zaidi ya kumi Watanzania bado hawajategua kitendawili, Diamondi atashuka lini kwenye huu music wa Bongo Fleva. Wengi wamebakia kubashiri nini kipo nyuma ya mafanikio makubwa aliyopata, na anayoendelea kuyapata bwana Nasib. Wapo wanaosema ni Freemason, ni mganga wa Morogoro, ni Majini...
  5. Wasanii wa kiume wenye macho ya kuvutia Tanzania

    Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua nafasi zaidi ya asilimia hamsini ya Sura. Nimeweza kutazama kazi za sanaa za uimbaji na kubaini...
  6. Jay Melody afanya kituko

    Yaan kuna wasanii hawaeshimu kabisa protocol za mavazi. Haya cheki huyu jay melody nani anampa kiburi cha kuvaa suruali ambayo haimtoshi, suruali ambayo kavalia mkanda huku kafunga suspendor(sambaloketo:dk1.20). Ni jambo la kushtusha sana, mbona inafahamika kama una suruali inayopwaya kiunoni...
  7. Nani aliimba hii Ngoma?

    Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra Sasa ningependa...
  8. Wasanii wa bongo Harmonize na Vanessa katika dilemma kubwa

    WASANII WA BONGO HARMONIZE NA VANESSA KATIKA DILEMMA KUBWA. Mambo vipi wanajamii, Kuna choice nyingi sana mtu waweza kufanya pasipo pata wasiwasi wowote juu ya maamuzi yako, Lakini kuna mara unakuta unamachaguo mawili yote yenye kuwiana ulazima wake apo sasa ndipo dilemma anazaliwa. Nimekuwa...
  9. Top 10 Hottest Bengali Movie Actresses

    Bengali ladies are famous for their beauty all over the world. And when it comes about the beauty of the actresses then I must say that all the actresses of any region are really beautiful. The Bengali actresses are too amazing to watch. This list will let you to get a glance of the famous and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…