bongo star search

  1. Hivi huyu Mshindi mpya wa Bongo Star Search Moses Luka siyo kwamba Soda yake haina Gesi kwa jinsi anavyoongea na kujilegeza?

    Kila nikiziangalia Interviews zake baada ya Kutangazwa Mshindi ninaona ni kama vile labda Soda yake haina Gesi kabisa.
  2. Bongo Star Search (BSS) anzisheni program ya kupeleka vipaji American Got Talent (AGT)

    Kwa: Meneja wa Bongo Star Search (BSS) Dar es Salaam, Tanzania Yah: Kuanzisha Programu ya Kuwapeleka Washindi wa BSS Kushiriki Mashindano ya America’s Got Talent (AGT) Natumai barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na unaendelea vyema na juhudi za kukuza vipaji vya muziki na sanaa kupitia...
  3. B

    Kuna muda Bongo Star Search kweli inapata wapi?

    Just imagine mwana wa mai 🤣🤣😆
  4. naona kama Bongo star search wamekosa mvuto kwasasa?? Shida nini

    Wakuu naangalia Bss naona inaniboa kabisa pia nimeangalia hata wanao view kwene social media wana zidiwa hata na wachekeshaji wadogo wakati ni tukio kubwa sana!
  5. S2kizzy alivyoingia ukumbini baada ya kutangazwa jaji mpya wa Bongo Star Search msimu wa 15

    Producer wa muziki Bongo, S2kizzy alivyoingia ukumbini baada ya kutangazwa jaji mpya wa Bongo Star Search msimu wa 15.
  6. Madam Ritha afichua bajeti ya kuandaa Bongo Star Search. Ni Milioni 700 mnaweza kuamini?

    Habari zenu wanajamvi. Lunch mmepata? Leo nilikuwa nipo Youtube natazama kipindi cha Salama Na Madam Ritha. Kuna sehemu moja ya mahojiano hayo, Madam Ritha kipindi anajibu swali la mtangazaji machachari, Salama Jabir alidokeza kuhusu gharama anazotumia kuandaa hicho TV kwa msimu mmoja. Ritha...
  7. Bongo Star Search mnakosa mvuto

    Habarini za Muda Huu Nimeona Tangazo la Kutafuta Hawa Bongo Star Search Nikabaki Nashangaa wanatafuta Comedian au Nini? Yaani Watu wanaoonyeshwa Kwenye Tangazo ni Wachekeshaji na Watu wanashindwa Kuimba Na Waliovaa Hovyo Hovyo Tu Sasa Badala ya Kuwaonyesha Watu wanaoimba Vizuri ili Tuone...
  8. Bongo Star Search hiki mnachofanya ni udhalilishaji

    Hiki kipindi kadri siku zinavyozidi kwenda kinazidi kuwa cha kidhalilishaji. Ma judge wamekuwa na tabia za kuattack utu wa watu kuliko hata kuangalia vipaji wanavyopaswa kuangalia. Shilole alikuwa mchafu mpaka miaka ya hivi karibuni tu baada ya kushika vijipesa sasa ghafla kawa msafi mno kiasi...
  9. Bongo Star Search: Sijaona alichokosea huyu kijana mpaka mumcheke na kumkejeli kiasi hiki

    Binafsi sijaona alipokosea huyu dogo mpaka nyie mnaojiita majaji mumcheke na kumkejeli kiasi hiki. Kwanza dogo hajapewa pace ya kuweza kufanya alichokusudia, yani ile ametoa sauti tuu majaji wote wakacheka kwa vicheko vikubwa na kejeli mpaka wakampotezea confidence dogo. Hili limekuwa sio...
  10. Bongo Star Search Waache Human Abuse, BASATA na TRCA wawaangalie !

    Nimekuwa naangalia hiki kipindi cha Bongo Star Search karibuni ila Kauli chafu na maneno wanayowapa hawa vijana sio sawa kabisa. Sijajua kama hizi lugha zingeeleweka huko mbele kwa nchi za wenzetu katika ulimwengu uliostarabika. Nimeangalia vipindi vingi sana kama hivi mfano American Idol ...
  11. Watu wa mamlaka ya sanaa pigeni marufuku Bongo Star Search

    Habari zenu wakuu, Nimeamua Leo kuleta mada hii haswa mamlaka pigeni marufuku shindano la BSS kwa sababu hakuna anaestahili kuwa jaji pale na ndio maana pamoja na serikali yetu haina mpngo mbdala wa kuzalisha wasanii ila ndani ya nchi yetu kila mwenye pesa anaenda studio. Hebu tuangalie nchi...
  12. Waandaji wa BSS (Bongo Star Search) Msimu ujao ongezeni 'Kipengele' cha Kuwapima 'Akili' Washiriki wenu kwani tunachoka Kuwatizama 'Matahaira' tu

    Halafu kaeni mkijua kuwa kuna wengine Mwenyezi Mungu 'ametubariki' na 'Vipaji' vingi tu hivyo hata huku 'Kuimba' tunaweza vile vile sema tu haikuwa 'Kipaumbele' chetu. Kama kuna 'Msimu' wa BSS ambao nimeushuhudia kuwa una 'Washiriki' wenye 'Utahaira' katika 'Uuimbaji' ni huu unaoendelea sasa. Na...
  13. Video: Cheki bongo star search ya Iran na Ayatollah ndio jaji

    Mzuqa! Hizi sankshen za Marekani dhidi ya Iran balaa na zina effect kubwa sana. Pia ukitazama kwa makini utamuona Qassim Solemani kwenye mstari wa mbele akilia sana enzi za uhai wake huku kafunika uso wake kwa kiganja. Inaonekana hii ni kama bongo star sech yao ama X Factor yao. Nimecheka...
  14. H

    Leo ni final ya bongo star search

    Bongo star search imefikia hatua ya mwisho yaani final ya season ya mwaka Huu na tumeshuudia wasanii watano wakali wamebahatika kuingia kwenye final ambao ni meshack, Frank, leonard, Patricia na Patrick na Kati yao mmoja ndo ataibuka mshindi. Maoni yangu: mshindi namuona anaweza akawa Frank au...
  15. H

    Hamisi wa Bongo Star Search uwezo wake mdogo

    Leo niliangalia marudio ya Bongo Star Search ya Jumapili nimeona kabisa huyo Hamisi uwezo wake wa kuimba ni mdogo sana wakati wenzake uwezo wao ni mkubwa. Na amshukuru Mungu kufika hatua ya 10 Bora, hakustahili kufika hatua hiyo. Ifike kipindi watanzania tuache unafiki pale Bongo Star Search...
  16. H

    Asante bongo star search kwa kumleta rayvanny

    Kitendo Cha bongo star search kumualika rayvanny Kama guest judge kimewafurahisha wengi nikiwemo mimi.Pamoja kwamba Rayvanny ni msanii mkubwa na mwenyekufanya vizuri lakini rayvanny ana kipaji kingine Cha uchekeshaji tangu bongo star search watangaze salama hatakuwemo msimu huu upande wa...
  17. Msanii wa Kichina Akiimba Kiswahili Kwenye Bongo Star Search

    Unaweza kusema hii ni moja ya faida ya utandawazi ambapo lugha, tamaduni hadi nyimbo za nchi moja huweza kuwafikia wengi katika mataifa mengine yenye tamaduni tofauti. Hali hii husababisha hata baadhi ya watu kuvutiwa na tamaduni au lugha hizo za kigeni na hatimaye kujifunza na hadi kuimba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…