Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mfungwa wa Kisiasa ambaye alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani akiwa jela, Baada ya Mapumziko mafupi, Hatimaye ameanza kazi Rasmi
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Mahabusu aliye jela ya Segerea, Boniface Jackob, Boni Yai, Bonny Dongo au Ngumi Jiwe, leo Amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Baada ya kujizolea 77% ya kura zote.
Kwa Maana hii ni kwamba, Kuanzia Muda huu Bonny Dongo anakuwa moja...
Tukirudi nyuma, ni kwamba baada ya kukamatwa kama Jambazi pale hadharani Sinza na kufikishwa mahakamani, Bonny alinyimwa dhamana kwa sababu za kichovu, ikiwemo ile ya eti Usalama wake uko hatarini
Mahakama ikijua kwamba Bonny Yai juzi tu alirejesha fomu ya kuomba Uenyekiti wa Chadema kwa...
Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada leo Alhamisi Septemba 26, 2024.
Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franco Kiswaga alitarajia kutoa uamuzi juu...
Mwanachama wa Chadema mh Ntobi amesema wametoka kumuona Boniface Jacob aka Boniyai wamemkuta akiwa na tabasamu kuliko wao
Ntobi amesema ukurasani X
Ahsanteni Sana
---
Tumetoka kumuona BonIFACE gereza la Segerea akiwa mwenye tabasamu kuliko sisi!!Binfsi, namshangaa (muonekano) kanyolewa kipara...
Kumbe Bonny ni mtu poa tu, hana chochote cha hatari alichonacho nyumbani kwake zaidi ya king'amuzi cha DSTV na simu ya Tochi ya Tecno pamoja na jiko la gesi moja
Mgombea wa Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Boniface Jackob, wakati akirejesha fomu amewaambia wanachama wa CHADEMA kwamba, hata akishindwa kwenye Uchaguzi huo hatahamia CCM na kuanza Kubwatuka bwatuka kama mbwa, kama anavyofanya yule Mzee.
Toa Maoni yako
---
Kwa sapoti hii na dalili hii...
Yaweza kuwa ni maandalizi makubwa, mikakati au ushawishi alionao Bony Yai ila ukweli ni kwamba amewashtua sana wabunge wa Kanda ya Pwani waliopo Bungeni.
Idadi ya watu alioandamana nao haikutegemewa hasa ikizingatiwa alidrop kwa muda kwenye siasa za harakati akaanza kufuga kuku.
Maandamano...
Meya zamani wa Kinondoni na Ubungo, ambaye ametangaza kugombea Uenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, amepanga kurejesha fomu ya kugombea uongozi huo kwa Maandamano.
Leo aliitwa Polisi Kanda Maalum ili kueleza kwanini anarejesha fomu kwa maandamano, baada ya Ufafanuzi Polisi wameahidi kuyalinda...
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na Polisi kwa ajili ya mahojiano kituo cha polisi Mbezi, sababu haijajulikana.
========
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob amechukuliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano hata hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.