Serikali imekwamisha tena uamuzi wa hatima ya dhamana ya meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ baada ya kuibua maombi mengine mapya kuwa wanataka kuwasilisha kiapo cha ziada leo Alhamisi Septemba 26, 2024.
Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franco Kiswaga alitarajia kutoa uamuzi juu...
Mwanachama wa Chadema mh Ntobi amesema wametoka kumuona Boniface Jacob aka Boniyai wamemkuta akiwa na tabasamu kuliko wao
Ntobi amesema ukurasani X
Ahsanteni Sana
---
Tumetoka kumuona BonIFACE gereza la Segerea akiwa mwenye tabasamu kuliko sisi!!Binfsi, namshangaa (muonekano) kanyolewa kipara...
Boniface Jacob ameweza kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Septemba 19,2024,toka akamatwe hapo jana katika mgahawa wa Golden Fork, Sinza.
Hati ya Mashtaka ya kesi inayomkabili Boniface Jacob inaeleza kuwa anatuhumiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kinyume na Sheria ya Makosa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi Jumatatu ya Septemba 23, 2024 wa dhamana ya aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob, maarufu Boni Yai.
Uamuzi huo utatolewa baada ya upande wa mashtaka leo Alhamisi, Septemba 19, 2024 kumfikisha mahakamani na...
Hekima Mwasipu ambaye ni Wakili wa Meya wa zamani wa Ubungo ambaye pia ni Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema Polisi wametumia dakika takribani 180 kufanya upekuzi nyumbani kwa Boniface maeneo ya Mbezi Msakuzi Jijini Dar es salaam.
Wakili Mwasipu akiwa nje ya...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni, Mwamba Kabisa, Boni Yai, amehitimisha sekeseke la kukamatwa kwake kinyama pale Hotelini, kwa kukataa kutoa maelezo Polisi na kuahidi kikakamavu kwamba, Maelezo hayo atayatolea Mahakamani, siku yoyote atakayopelekwa...
Kada na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga, Ntobi amesema Jeshi la Polisi wamefika nyumbani kwa Boniface Jacob, maeneo ya Msakuzi kwa ajili ya upekuzi. Mawakili wa Chama wapo hapa kushuhudia upekuzi.
Hii inakuja baada ya kutoka taarifa kwa Jeshi la Polisi kwamba linamshikilia Boniface...
Kupitia Mtandao wa X, Askofu Mwamakula amesema Kuna taarifa kuwa aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob amenyakuliwa na defenda akiwa kikaoni Sinza, Dar es Salaam na haijulikani kapelekwa wapi. Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kama ni Polisi wamemchukua waseme maana huyo ni kiongozi wa jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.