GTs,
Ni heshima iliyoje kuona haki imetendeka na tena kwa uwazi kabisa kwa kijana Wakili Mwambukusi kuibuka mshindi.
Ni dhahiri Wakili Nkuba hakuwa kabisa na uwezekano wa kushinda. Najua michezo yetu wana CCM ya kupenyezana kila sehemu ila hapa tukubali tumeshindwa na ndiyo maana nakuomba...