Yaani Mwamposa umeona ukisema hizo Nyumba ni zako Utasababisha Waumini wako unaowakamua Kutwa waanze Kukukacha hivyo ukamtafuta Rafiki yako Lugumi kwakuwa Yeye ni Mfanyabishara basi ajifanye ni zake kisha Wewe ucheze Mchezo wa Waandishi wa Habari wajifanye wanakuja Kukuhoji kisha uanze Kumsifia...
Wakuu,
Mdogo mdogo tuna swore allegiance na Bashite ili akiukwaa tusisumbuliwe kwenye mambo yetu!
===
Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise and shine (Inuka Uangaze),Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF pamoja na Mfanyabiashara na Mmiliki wa Kampuni ya Utalii ya Leopard Tour wametoa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa (Buldozer) unaofanyika Katika Viwanja vya Tanganyika Packers kawe jijini Dar es...
Kwamba, sisi ndio wateja, then wao ndio succesful business owners. Kwamba wanauza "tumaini la kufikirika" huku sisi tunatoa "pesa za kushikika"
Kwamba injili ilipaswa kuwa hivi? bodyguards, magari makali (tsh 100m+), maji for sale?
Si nilidhani revenues zinazotokana na vishilingi vya sisi...
Ndugu zangu Watanzania,
Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.Mama mwenye moyo wa huruma, upendo, unyenyekevu na ukarimu ametoa salamu za pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka uangaze.kufuatia kifo cha Msaidizi wake Mkuu...
Kwako mtumishi wa Mungu, nakuomba Tafadhali sana usipuuze andiko langu, hili ni andiko la Mungu mwenyewe.
Wewe hakika ni mtumishi wa Mungu,ni kweli kabisa Mungu alikuita ili ufanye kazi yake, wanaokudharau na kukusimanga ni wa kuonea sana huruma, kwa sababu mimi nina ushahidi wa zaidi ya 100...
Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.
Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa...
Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha naona makubwa yanafanyika anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu, Muujiza wa kwanza. Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni. Mahubiri ni...
Kwa Kisiri Sanawari katika wilaya ya Arumeru, mkoani Arusha, jioni hii ya 11/7/2024 umepatikana mwili wa mwanaume mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 40 akiwa amefariki ndani.
Kwa mujibu wa taarifa ya mkewe imeeleza kwamba mume wake alikuwa anasumbuliwa na tumbo kwa muda mrefu na...
Mtume Mwamposa kutoa pikipiki 20 kwa Jeshi la polisi Arusha kurahisisha kazi zao.
Pia soma: Makonda kutoa mafuta lita 20,000 kwa vyombo vya Ulinzi na Usalama
Hayo yalisemwa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda alipokuwa akihutubia kwenye kikao cha viongozi wa ulinzi na usalama Arusha...
Kwangu Mimi hawa akina Mgogo, Hananja na IPM ndiyo Wahubiri wangu wazuri na ninaowaelewa kwakuwa hawana Unafiki na Wanahubiri Maisha halisia
Inahitaji Akili / IQ Kubwa sana ili Kuwaelewa, ila ukiwa kama Wapuuzi wa Mkesha wa Kichawi wa Ijumaa hutowaelewa.
===
Pia soma: Nimepita hapa Kawe kwa...
Mtumishi wa mungu ni vyema kuzingatia jamii na waumini wanataka nini katika maisha yao, yafuatayo ni kero nilizozibaini mimi kama miongon mwa waumini wake.
1. Ibada ndefu/ mpaka usiku inayopelekea usafiri kuwa wa shida, kumbuka waumini wengi wanategemea usafiri wa uma afu wanakaa mbali afu wana...
Kwako Mtume na nabii Boniface mwamposa naomba sana sana urekebishe tangazo lako la kwenye radio kwani lmeleta upotoshaji mkubwa Sana ,unasema nanukuu.
"Mtume atagawa mafuta bureee kabisa", wakiti siyo Kweli maji na mafuta yanauzwa tena wauzaji wana kiburi sana kinachopatikan pale bure ni keki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.