WAZIRI STERGOMENA TAX MSIBANI KUMFARIJI MBUNGE BONIVENTURA KISWAGA
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), tarehe 1, Julai 2024 ameungana na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Magu...