Huyu bwana kipaji cha kuimba hana ila anapambana sana,nimuite ni mpambanaji ila sio msanii mwenye takent.
Kuna story vijiweni kuwa anajizushia vifo nara jadhaa ili atrend kazi zake zitrend.
Kutokana na upeo wake mdogo hajui kama kujizushia kifo ni kosa kisheria maana anazusha taharuki kwa...
Wachawi kabla ya " kupeleka majeshi" ( kupiga Bomu la kichawi ) huwaga wanaanza kwanza kutumia silaha ya maneno kwa sababu kutumia silaha za kichawi ni gharama.
(kwanini watume risasi" uchawi" ambazo ni expensive wakati wanaweza kutumia mawe" maneno" ambayo wanayatumia bure kabisa)
Kwa...
Sio mtu wa Imani sana ila nikiwa low napenda kusikiliza gospel songs Kuna namna Zina nilift juu napata afueni ya magumu nayopitia kihisia.
Kuna huu wimbo wa Bony Mwaitege-Soma ni wa muda ila nilikuwa nauchukulia poa kumbe bonge la inspirational song nimepata wasaa kusikiliza kwa makini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.