Nimesign boom Jana ya awamu ya kwanza baada ya ku appeal Sasa kwenye lo verification imekuja Moja na kwenye failed imeandika Moja apo wasiwasi wangu kwenye failed.lakin message nimetumiwa uku kuwa installment imekamilika niende ku confirm kwa loan officer apa ndo nataka nijue ili niende na...
Tunaomba Mtusemee!
Hawa bodi ya mikopo Kuna figisu wanafanya mara ya kwanza walisema tarehe 20 Mei watatoa mikopo, lakini tarehe ishirini ikafika kwa SAUT Mwanza wakasema tuende tukahakiki account zetu za benki. Tukaenda hapakuwa na uhakiki, Ilikuwa ni kusaini makaratasi tu. Juzi wamesema...
HESLB Tanzania tunaomba muwe mnawaelimisha hawa wabunge wetu vigezo mnavyotumia kuwapa wanafunzi mikopo maana mpaka mwanafunzi anapewa hela ya kujikimu ina maana hata kwao wana mazingira magumu hawataweza kumpa pesa ya kujikimu
Angejua wanafunzi wanachopitia hata hyo boom haitoshi asingeongea...
"Mimi nakubali nimeomba radhi inawezekana ile kauli imewaudhi wengi, lakini mimi bado ni mtetezi wao wa kwenye matumizi na kuwasaidia kusoma vizuri kwa kuhakikisha wanafunzi wote wanalipiwa ada halafu tukawalipia matumizi (Boom) kwa hizo asilimia zilizopo," - Mwita Getere, Mbunge wa Bunda...
Eti mbunge huyo wa Bunda vijijini Boniface Mwita Getere anasema wanachuo wasipewe boom kwani wanafunzi wanaopewa boom hawana nidhamu, niwalevi, na hawasomi.
Anadai eti walipiwe karo tu kuhusu matumizi watalipiwa na wazazi wao. Sasa hajajua kama hakuna wazazi ambao hawana uhakika wa kula...
Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu maarufu kama Boom, liondolewe kwa sababu wanafunzi wanaopata Boom hawasomi, wana nidhamu mbovu na wanalewa.
Amesema badala yake, wanavyuo walipiwe karo kwa sababu wenye uhitaji.
My Take
Naunga mkono hoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.