Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lissu amewaambia wazazi wa Manyoni Kuwa Watoto wao waliopo Vyuo vikuu hawapewi Mikopo wanaenda kujiuza
"Ukienda DSM muda wa Usiku utawakuta mabinti wa Vyuo Wamejazana mabarabarani wanafanya mambo ya ajabu maisha ni Magumu kwa sababu hawapewi fedha " amesema...
Salaam Wakuu,
Nianze kuwatwanga maswali, hivi, enzi zenu ninyi wazee mlipokuwa mnatumia boon kusaidia familia zenu nani aliwaingilia huko? Mlipokuwa mnatumia boom kuwalipia wadogo zenu ada na kuwasaidia pesa za kujimu ili nao waweze pata elimu kama wewe kuna aliyewaingilia kwenye matumizi yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.