bora zaidi

Mahim Bora (6 July 1924 – 5 August 2016) was an Indian writer and educationist from Assam. He was elected as a president of the Assam Sahitya Sabha held in 1989 at Doomdooma. He was awarded most notably the Padma Shri in 2011, the Sahitya Akademi Award in 2001 and the Assam Valley Literary Award in 1998. Assam Sahitya Sabha conferred its highest honorary title Sahityacharyya on him in 2007.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Tauhida Gallos Awataka Wanawake Nchini Kujitathimini Ili Kuwa Bora Zaidi Kiutendaji

    TAUHIDA GALLOS AWATAKA WANAWAKE NCHINI KUJITATHIMINI ILI KUWA BORA ZAIDI KIUTENDAJI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhid Gallos Nyimbo amewataka Wanawake nchini kujitathimini kutokana na nafasi walizonazo ili waweze kujua hatua walizofikia kwa lengo la kuwa bora zaidi kiutendaji...
  2. R

    Wayahudi wana muono bora zaidi kuhusu shetani kuliko wakristo

    Sikiliza tu huu utitiri wa redio za wakristo usikie vituko kama si vichekesho. Shetani na mapepo yanaogopwa na kutajwa mara nyingi kuliko Mungu. Wanabwabwaja usiku na mchana mpaka sauti zao zimeharibika. Wewe pepo, wewe jini, achia ,achia, kwa jina la Yesu! Hao Wayahudi ambao wakristo...
  3. M

    Nani Spika Bora zaidi , Toka Mwaka 1995, tupige kura

    Kwa wale wazee wenzangu na wafuatiliaji mabunge awamu mbali mbali, nimeona Leo tujikite kidogo kuangalia maspika wa Bunge walioongoza Bunge vipindi mbali mbali, Kila mmoja alikuwa na staili yake, Kariba yake, maspika Hawa wote walitoka chama Cha CCM. Hivyo tuangalie je nani alikuwa Bora zaidi...
  4. Mookiesbad98

    Mashine ya kukamua juice ya miwa iliyo bora zaidi ni ipi?

    Naulizia wadau wanaozijua mashine za kukamulia juice ya miwa yenye tija.zaidi na kudumu na urahisi.wa maintanance
  5. PureView zeiss

    Gaza kubadilishwa jina na kuwa "West Israel"

    Baada ya Trump kumpa rungu Netanyahu kwa kumpatia silaha za kila aina ili kuingamiza Gaza. Nchini Israel wameshatoa jina jipya Kwa eneo lote la Gaza baada ya kuondolewa wapalestina wote kwenda Egypt na Jordan Katika mkutano wao Kati ya Trump na Netanyahu wamekubaliana kuwaondoa wapalestina wote...
  6. Yoda

    AI yamuweka Kagame kuwa kiongozi bora zaidi kuongoza Afrika moja iliyoungana!

    Ni ChatGPT AI
  7. Yoda

    Bubur Ayam inaweza kuwa kifungua kinywa bora zaidi baada ya English breakfast.

    Hii breakfast ya Indonesia( wenyewe wanaiita Bubur Ayam) inaonekana ni bora sana. Wapi Dar es Salaam kuna mgahawa wa Ki-Indonesia nikaijaribu?
  8. Magical power

    Kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 1975 hadi 1995 ndicho kizazi bora zaidi kutokea

    Kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 1975 hadi 1995 ndicho kizazi bora zaidi kutokea "Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu: Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia kuchukua...
  9. Genius Man

    kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
  10. LA7

    Automatic door lock nimebuni mwenyewe tunaweza kuiboresha pia ikawa Bora zaidi

    https://youtu.be/9kXhJgeaBms?si=DL79cRrrlihd_3Z0 Mm ni mbunifu hivo nabuni kulingana na mazingira yangu Wakosoaji ruksa
  11. Tman900

    Kua na Furaha na Amani Moyoni ni Bora zaidi

    Kuna mtu mitaa ambayo ninafanya Biashara zangu, kwa mtazamo wangu amenizidi kwa kipato na Mali. Sijajua kuhusu Elimu ya Darasani. Ila nasikitika kua Huyo mtu amejiua, Sasa nikajiuliza kama pesa anayo, mke Familia Usafiri, na ni gari nzuri tifauti na yangu. Akili yangu ikawaza sana Why huyo...
  12. mdukuzi

    Kwa sasa hakuna mchezaji bora zaidi ya Vinicius Junior(vini jr)

    Mpappe,Messi,Robaldo,taja mwingine,ukuwajumlisha kwa pamoja kwa sasa ndio unampata Vini Jr
  13. L

    Afrika inaonesha hekima na uamuzi bora zaidi kuhusu magari ya umeme ya China

    Hivi majuzi, Klabu ya Magari ya Ujerumani ADAC ilitoa ripoti ya utafiti ikionyesha kuwa karibu 60% ya watu waliohojiwa wa Ujerumani wanafikiria kununua magari ya chapa ya China, huku asilimia 72 ya watu wenye umri wa miaka 18 hadi 39 wakipendelea magari hayo. Kuhusu magari ya umeme, asilimia 80%...
  14. MamaSamia2025

    Hii ni Albam bora zaidi ya Koffi Olomide

    𝐊𝐎𝐅𝐅𝐈 𝐎𝐋𝐎𝐌𝐈𝐃𝐄 𝐕𝟏𝟐 𝐀𝐋𝐁𝐔𝐌 Ni albam ya 13 ya Koffi Olomide. Iliachiwa mapema mwaka 1995. Kwa mujibu wa Tutu Roba, mdogo wake Koffi hii ndo albamu bora zaidi ikifuatiwa na Efrakatta. Kipaji kilitumika haswa. Hii album ilinikuta tayari niko shule ya msingi. Nadhani mwaka 1995 albam nyingi kali za...
  15. S

    Si kwamba vyama vya upinzani ni bora zaidi, lakini ni muhimu Watanzania kuiondoa CCM madarakani to teach the Police a lesson

    Watu wengi wamekuwa wakivitazama vyama vya upinzani katika mtazamo wa kuwa mbadala wa CCM katika uongozi, na wengi wanasema kwamba bado havijakomaa kuongoza nchi, jambo ambalo siku zote nasema, tulipopata uhuru TANU haikuwa imekomaa kuongoza nchi. Sasa mimi naona kama imefikia mahali jeshi la...
  16. U

    Spika bunge Lebanon aiambia Israel kuwa Kisasi kinakuwa Chakula Bora zaidi kinapotolewa au kuliwa kikiwa baridi

    NB: Paschal Mayalla naomba utupe fasiri sahihi ya sentesi hii (Revenge is a dish best served Cold) Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha Mashariki ya kati Spika wa bunge la Lebanon na mshirika mkubwa wa Hezbollah ameichimba mkwara Israel lazima ichezee kichapo kwa tuhuma za mauaji ya Kiongozi...
  17. Pfizer

    RC Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Amana wa Bilioni 3. Huduma ua Kangaroo kuwa bora zaidi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amezindua mpango wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Wilaya ya Ilala ya Amana (yenye hadhi ya Mkoa) utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni tatu. Ni katika muktadha huo Chalamila amewataka wadau wa maendeleo na wananchi kushirikiana...
  18. W

    Hoja za African Supremacy waafrika kujisifia ni watu bora zaidi huwa zinanichekesha, ukweli ni kwamba tunashika mkia mambo mengi yena kwa kujitakia

    Tuna uwezo mkubwa kimiujiza, wajerumani wachache waliwaua babu zetu wengi sana waliochanjwa na kinjikitilengwale dawa ya kuzuia risasi. tuna tiba asili zenye nguvu - magonjwa, magonjwa kama malaria, kipindu pindu, ebola inamaliza waafrika wengi mno. Tunapendana, achilia mbali waafrika kuwa...
  19. Yoda

    Mikate bora zaidi Tanzania

    Katika kula kwangu mikate nchi hii sijawahi kuona Mikate iliyo bora zaidi ya Supa Loaf, Sunkist na ile ya Iringa inayouzwa kwenye magari. Hii mikate inahitaji heshima nchi hii kwa sababu ina hadhi zote za kuitwa mikate, kuanzia ladha, harufu, ujazo sahihi wa unga hadi ulaini.
  20. Reuben Challe

    Simu Bora zaidi kununua kwa Sasa (2024)

    Watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni simu gani nzuri kununua kwa bei ndogo, kwa hiyo thread hii itakuonesha simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 4 na simu 5 za kununua kama budget yako ni chini ya laki 3. Hizi ni baadhi tu maana simu zipo nyingi sana ila nitataja chache tu. Bila...
Back
Top Bottom