bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbona Wachambuzi wa Soka la Tanzania katika Redio na Runinga sasa hawatuambii tena Timu bora kati ya Simba na Yanga ni ipi?

    Na walivyokuwa Wendawazimu na Watu wa kupewa Fedha na MSG watasema bado aliyefungwa Mechi Mbili katika Ligi Kuu ya NBC ndiyo Timu bora huku yule ambaye Kafungwa Mechi moja tu na sasa ndiyo anaongoza Ligi na huenda akaongoza hadi Ubingwa siyo Timu bora. GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE "Purely...
  2. Wanaume, kumfanyia hivi mwanamke wako haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kubwa sana kwake

    Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana. Yawezekana yupo kwenye period...
  3. Bora Kuwa Single Maisha Yangu Yote kuliko kuwa na Mwanamke Ambaye Yuko na Mimi Kinafiki na Hanipendi

    Leo mdau wenu Pang Fung Mi nasema kwa uchungu kabisa sababu ya kuwa mwanachama hai na wa kudumu wa muda wote wa Chama cha wakataa Kuoa na kataa kuishi kindoa na Mwanamke. Wanawake wamejaaliwa roho mbaya na roho chafu sana, roho ya kupewa, roho ya Chawa, roho ya kiroboto. Wanawake wengi...
  4. Bora nioe mama wa nyumbani, atanisikiliza

    Dunia imeingiwa na changamoto mbali mbali, tamaa imetawala kwenye mahusiano; mdada anaingia kwenye mahusiano kwa maslai fulani. Bora hawa wamama wa nyumbani hawana shida sana, ila hawa wengine niumiza kichwa. Nikifikiria hizi nyuzi za wanawake 400; naishiwa nguvu kabisa. Bora nioe mama wa...
  5. Buguruni Business Centre : Chimbo bora kwa wafanya biashara wakubwa na wamiliki wa hardware.

    Amani iwe nanyi, watu wa Mungu. Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli. kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
  6. Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  7. Orodha yangu ya Wanachama bora wa Jamiiforums mpaka sasa

    Wakuu ! JamiiForums kwa upande wangu hasa mwaka huu 2024 imekuwa ni msaada mkubwa sana katika mambo yangu mbalimbali. Ninaelekea kutimiza miaka 14 ndani ya huu mtandao na ninaweza kusema mwaka huu wa 2024 nimekuwa ni mtumiaji sana wa huu mtandao kupata habari na connections mbalimbali ili...
  8. Vipi tuendelee Kuchekana baada ya Matokeo ya Leo au sasa kila Mtu ashike Adabu zake na ajue kuwa Mpira huwa Unadunda?

    Yanga SC Kamfunga Simba SC Simba SC Kamfunga Azam FC Azam FC Kamfunga Yanga SC Imeisha hiyo.
  9. Si tulisema hatufungwi na Uwanja wa Chamazi ni wetu Kinyota je, leo imekuwaje?

    Asante Mungu
  10. Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  11. Yaani bora kidooogo uwaamini Singida Black Stars FC ikicheza na Yanga SC kuliko Wanafiki wa leo Azam FC

    Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano. Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam...
  12. Je ni rahisi kupatikana kiongozi bora kwenye jamii sio kuwa na maadili na uwadilifu?

    Habari wanajamiii forum, ! Kwa utamaduni wa inchi yetu, ya Tanzania ukipewa nafasi ya kutaja viongozi bora bila kujali itikadi na dini, ni kazi ngumu sana kuwapata afadhili ukachukue jembe ukalime, kwa sbb what mifumo ya sheria na utamaduni zetu za usinichi, Ila utawakuta wenye uwafadhali...
  13. Goli la Mukwala ni goli Bora Sana

    Goli Bora huwa na mambo yafuatayo. 1. Umuhimu wa goli 2. Limefungwaje 3. Juhudi na weledi wa mfungaji 4. Ubora na defensi ya waliofungwa. Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala kafunga goli bora Sana.
  14. B

    Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa

    Asee wanaJF people's Power na kazi iendelee kuna mkanganyiko hapa Bora kuoa mwanamke yupi Kati ya hawa 1.Mwanamke mwenye mtoto(karibu la mume wake umeliona🤣) 2.Mwanamke aliyekuzidi umri 3.Mwanamke aliyekuzidi elimu 4. Mwanamke aliyekuzidi pesa NB. Ni mwenye sifa moja(sio kwamba anasifa zote...
  15. Baada ya Maji ya Kilimanjaro Kuchakachuliwa, Je Maji Yako Bora ni Yapi?

    Wahuni wanachakachua sana maji ya chupa ya Kilimanjaro. Mimi nina zaidi ya mwaka mzima sinywi maji ya Kilimanjaro. Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop. Je wewe unakunywa maji gani?
  16. Ni bora kuwa na maarifa kuliko elimu

    NI BORA KIONGOZI MWENYE MAARIFA KULIKO MWENYE ELIMU
  17. I

    Ni laini gani ya lipa pesa ni bora kwaajili ya biashara?

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kusajili line ya lipa pesa, sijui ipi ni nzuri kwa ajili ya matumizi ya biashara. Vodalipa Airtellipa Tigolipa Nawasilisha
  18. Utawala bora bado ni tatizo kwa hii nchi

    Kumbe watu wanakula mitonyo yetu na sie tumekaa kimyaa tuu?
  19. Kipi Bora? "Ubaya ulipwe na Ubaya" au "Ubaya ulipwe na wema"

    Haya mambo yanachanganya sana. Mtu anakufanyia ubaya halafu bado anakutaka radhi. Muda mwingine kosa lenyewe sio kosa linalotokea Kwa hatua Moja, unakuta Hadi kosa linalotokea limepita hatua kama tatu. Sawa, unaamua kusamehe na kusema naachilia yapite , kosa linakuja linajirudia Tena ukipiga...
  20. Iran imedhihirisha kuwa na Air defence bora

    Nimecheki air defences za Israel na zile za Iran na kugundua kuwa, Iran imeihakikishia dunia kuwa ina Air defence bora kabisa.. Pamoja na mimi the branding kuwa pro-Israel, but hii naitoa moyoni kwamba Irani iko vizuri na itafika mbali. Tusidanganyane, kila mmoja hutaka causality iwe kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…