Huyu ndugu yangu Freeman Mbowe naamini ndiye recruiter bora kwa miongo 3 katika nchi hii (kwenye upande wa siasa).
Kwa nini serikali/system isimchukue na kumpa kitengo cha kutafuta vijana wenye uwezo, kuwapika na kisha tukapata wakina Lissu wengi, wakina Heche wengi, wakina Mnyika wengi...