Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.
Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA.
Vipindi vingi vya radio bongo vinafanana kuanzia contents zao ambazo ni burudani na michezo hata muda wa hivyo vipindi unafanana...
Habari inayosambaa Mitandaoni: Wadruze wa Syria wanaomba wao wenyewe kuunganishwa eneo la Milima yao ya Golan yote iwe ndani ya taifa la Israeli.
Jumuiya ya Wadruze wa al-Hader nchini Syria wameamua Israel iwatwae, Israel 'wanauovu mdogo' mbele ya uwezekano wa kunyakuliwa na waasi wa Syria...
Vyama vyote vya siasa hapa nchini ni vyama vya viongozi, siyo vyama vya wanachama. Vyama vyetu vya siasa hapa nchini vina tatizo moja kubwa, ni vyama vya viongozi sio vyama vya wanachama. Matashi ya wanachama hayaheshimiwi na viongozi, kwahiyo nani anagombea nani hagombei kwangu siyo tatizo...
Uongozi wa kituo maalum cha kulelea watoto cha Bero Kids (Bero Kids Day Care) kilichopo jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja mgeni rasmi na wahitimu wa mahafali ya pili.
Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Kinondoni Bi. Fatuma Juma akizungumza wakati wa mahafali ya pili ya kituo...
I salute you kinsmen.
Viongozi nawapongeza sana kwa kuwa na jicho makini safari hii .
Kumleta Mwenda mchezaji mwenye kujituma na versatile player .
Mwenda anajua kucheza kulia na kushoto pia winga anacheza tu .
STRENGTH ZAKE.
-ni versatile player,
Anaweza cheza both left and right.
-Ana...
Hii inakuhusu zaidi wewe Mtanzania mwenye kipato cha chini ambae hauna uwezo wa kurudi gharama za matibabu ya nguvu za kiume.
Nasema hivi kwa sababu matibabu ya ukweli na uhakika ya nguvu za kiume yapo hapa Tanzania, na watu wanatibiwa na kupona kabisa. Tatizo la nguvu za kiume linabaki...
Klabu ya Coastal Union imethibitisha kuvunja mkataba na aliyekuwa mlinda mlango wao, Ley Ngumbi Matamp ambaye alikuwa golikipa bora wa msimu wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu uliopita kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Taarifa ya leo Desemba 10, 2024 ya leo kupitia ukurasa rasmi wa klabu...
Hali ilivyokuwa ya Desemba 2024
Dodoma, mji ambao umekuwa na ongezeko la idadi ya Watu kwa kasi kubwa tangu kuanza kutumika kwa Chuo Kikuu cha Dodoma Mwaka 2007.
Mbali na hapo uamuzi wa Hayati Rais John Magufuli kuhamishia rasmi makao makuu ya Serikali jijini hapo kumeifanya Dodoma iwe ‘busy’...
Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua ushindani wa kweli inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye chama kimoja kuliko kingine, na pia hakutakua na...
Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions.
Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la kuzingatia sana hasa kwa wale wanaojitafuta.
Unaweza kuwa sehemu kama Mbeya, ni mkoa unaosifika kwa...
Makampuni ya Simu kwa kipindi kirefu sasa zaidi ya Miaka 10 tangu 2010 yameshindwa kuhakikisha Huduma Bora ya Internet katika tarafa ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro.
Si network ya kupiga simu au ya kutuma ujumbe mfupi (SMS) wala internet, zote ni mbovumbovu na karaha kwa watumiaji...
Anonymous
Thread
bora
huduma
huduma bora
internet
kipindi
makampuni
makampuni ya simu
mashati
miaka
miaka 10
simu
zaidi ya
Ni vigezo gani vimetumika kocha wa Azam kuwa kocha bora wa mwezi november na siyo kocha wa Simba?
Mechi 3 za mwezi november Azam wameshinda mechi 3,
Azam 1 Kagera Sugar 0
Azam 2 Singida Big Star 1
Yanga 0 Azam 1.
Mechi za Simba
Pamba 0 Simba 1
Simba 4 KMC 0
Mashujaa 0 Simba 1
Azam mechi 3...
Uzuri sauti yake inambeba kuingia kwenye mifumo ya genre nyingi na content tofauti za muziki
Nyimbo alizoua Chorus na kishirikishwa
1.Bongo DSM na Prof Jay
2. Alikufa Kwa Ngoma na Fa
3. Machoni Kama watu Na Ay
4. Nyaluland na Mike T
5. Ama zangu Ama zao na Gk&ECT
6. Sikiliza Na Ngwea
7. Hawajui...
Naomba mnisaidie anayejua chuo kinachofundisha kushona nguo kwa maeneo ya Wazo, Tegeta hadi Kawe.
Nina binti yangu nataka ajifunze ufundi nguo ila sijui nampeleka kujifunzia wapi? Naomba msaada wadau
Na Mwandishi Wetu.
KAMPUNI ya Tumbaku ya Alliance One Tanzania Limited(AOTTL) imeibuka mshindi wa jumla katika kuzalisha ajira nchini iliyotolewa na Chama cha Waajiri Tanzania(ATE).
Kampuni hiyo yenye kiwanda cha tumbaku mjini Morogoro ilikabidhiwa tuzo ya ushindi huo mwishoni mwa wiki mkoani...