Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya. Just imagine, derby ilikufa kabisa. Kila Simba na Yanga zilipokutana, unajua kabisa kolo anaenda kuchezea. Kwa ufupi, aliwafanya ubaya ubwela kuwa kapu la kuvunia pointi.
Gamondi aliwageuza makolo kama chapati. Ninachokiona ni kwamba kocha wa Simba hatofika...