Nimeona tayari ikulu kama imeshaisha Dodoma.
Nawapongeza Dodoma city kwa mpango miji walioufanya, aina za nyumba, kuna maeneo ukienda utakuta nyumba zote rangi moja. Tunaomba sasa Mh. Rais aboreshe zile barabara, sio viwe vibarabara vidogovidogo kama vya miji ya kibongo, tunao uwezo kuifanya...