Benki ya NMB Tabora wamekuwa na huduma mbovu.
Huduma inayotakiwa kutolewa na watu watano ila inatolewa na mtu mmoja.
Wateja wanapoteza muda mrefu bila kupata huduma.
Mfano mtu nataka kujua salio anaweza kutumia lisaa limoja mpaka mawili anasubiri wahudumu, Lakini wahudumu hakuna yupo mmoja tu...
Hiki unachokiona kwenye picha hapo siyo kwamba watu wapo kwenye shoo ya muziki, hapo ni Ukumbini katika Chuo Kikuu cha SAUT au Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino Tanzania (St. Augustine University of Tanzania - SAUT MAIN CAMPUS).
Wanafunzi tumejaa katika Ukumbi wa chuo kiasi kwamba wengine...
Anonymous
Thread
boresheni
chuo
chuo kikuu
idadi
kikuu
saut
ukumbi
wanafunzi
Kama wewe ni shabiki wa mpira wa ndani na nje, ni rahisi kugundua tatizo kubwa linaloikabili timu ya Simba, ambalo pia linaathiri timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Shida kuu iko kwenye safu ya ushambuliaji—kimsingi, Simba haina makali mbele. Kazi kubwa inafanywa vizuri sana kutoka nyuma hadi...
Kituo kikuu cha Mabasi Dar es Salaam 'Magufuli Bus Terminal' ni miongoni mwa maeneo ambayo Serikali imekuwa ikikusanya mapato, kutokana na hilo inatarajiwa Miundombinu na huduma za kituo hicho ziende sambamba na kodi na tozo wanazotozwa Wananchi ambao wamekuwa wakifika eneo hilo.
Kwa sasa licha...
Ni jambo lisilopingika kwamba watu wote wenye maono kuhusu wapi tuipeleke Tanzania hawawezi kupewa dhamana ya uongozi au ufanya maamuzi.Hii ni kwa sababu nafasi za uteuzi au uwakilishi ni chache na wananchi tupo wengi.
Binafsi nimeitafuta muda mrefu fursa ya kuwa mwakilishi wa wananchi au...
Nilikuwa safari yangu kuelekea Chato nikasimama mji mdogo wa Katoro nje kidogo ya Geita, nikaenda sehemu kupata huduma ya vitu mbalimbali kisha nikaona nikiapate huduma ya kifedha na mambo mengine katika tawi la NMB KATORO.
Ee bwana wahudumu wa tawi hili costmer care yao ya hovyo sana pia...
Mbunge Cherehani: Boresheni Huduma za Afya kwa Wazee
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amemuomba Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Ushetu Athuman Matindo kuboresha huduma kwa wazee ambao wanavitambulisho maalum kutoka ofisi ya serikali ya kijiji ili wapate huduma kwa wakati.
Amesema...
Habari Wakuu, Bwana asifiwe.... Mungu ni Mwema... Tumsifu yesu kristo, Shalom.
Wiki iliyopita nilialikwa na jamaa yangu kwenda kuhudhuria ibada ya RC, Kwakuwa mimi huwa namualika kwenye Ibada zetu na anakuja hivyo ikabidi na mimi nimuunge mkono.
1) Kwakweli Ibada zenu zina utulivu wa hali ya...
Wakuu,
Hizi ni taa zipo Kinondoni Biafra, Dar. Moja imejishikilia vizuri wakati nyingine inakaribia kuanguka. Naamini kufanyiwa maboresho sasa ni bora na itakuwa gharama nafuu kuliko kusubiri ianguke iharibike zaidi.
Kodi zetu ndio zinawezesha ukarabati huo kufanyika na kama ikiachwa ikaanguka...
Huu ni mfano mdogo tu unaoonesha hatujui tunachokifanya kielimu!
Tazama majina ya sayari kwa kingereza halafu ulinganishe na kiswahili chake, huu ni mzigo kwa watoto lakini hatuoni kama taifa!
Miaka saba asome majina kwa Kiswahili halafu tena kitu kilekile aje aanze upya kukisoma secondary...
Habari wana jamvi
Nasikitika kusema kwamba leo nimekesha usiku kucha for nothing, mfumo wa maombi ya ajira haufunguki na hata ukifnguka mzigo una load tu bila response yoyote.
Jana nilijua labda pengine ni kwaajili ya watu wengi kuutumia mchana nikasema usiku nitakesha nimalize kila kitu...
Ukizungumzia umhimu wa Documentary chaneli katika utalii Tanzania! Huwezi Kuacha kuizungumzia TANZANIA SAFARI CHANELI
Chaneli hii imekuja kuonesha mageuzi makubwa sana katika sekta ya utalii Tanzania!
Lakini pamoja na mazuri ya chaneli hii IPO shida kubwa sana katika namna wanavyowasilisha...
Habari wakuu,
Kwa tukio la jana kukataliwa goal la Geita Gold ni wazi Azam TV wanapaswa kuboresha eneo lao la camera kwani hawakupi nafasi ya kuangalia angle zote za move ya mpira.
Mfano jana kwa picha za marudio zinaonesha tu kapombe akianguka na mfungaji kupiga kichwa na goal kukataliwa.
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.