Yapata kama miaka mitano hapo nyuma baada ya Kijana mmoja jasiri, mkakamavu, shupavu na mwenye bidii katika maisha ya Kila siku aliyejulikana Kwa jina la Kunze kupitia changamoto ya ubaguzi wa kitabaka kwani alikuwa Mwenyeji wa Bara. kijana huyo baada ya kufikia hatua ya masomo ya elimu ya juu...