b.o.t

"O.B.I.T." is an episode of the original The Outer Limits television show. It first aired on 4 November 1963, during the first season.

View More On Wikipedia.org
  1. Ustadh tongwe

    Hivi kwanini serikali iliamua kuiruhusu TRA iajili yenyewe wakati idara nyingine zote za serikali ikiwemo BOT ajira zinapitia Utumishi

    Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira, Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi kama BOT inapeleka utumishi kwanini wao wasipeleke.
  2. muafi

    Je, ABC bank wanatoa mikopo Kausha damu? Nimestaajabu sana

    Nimewasiliana na wakala wa Bank ABC juu ya mkopo Tazameni wenyewe, naomba ABC bank mtolee ufafanuzi huu ni mkopo au kausha damu? Hivi mtu ukope milionin14 urushe 39 huu si wizi kabisa? Ndugu watumishi wa umma pamoja na walimu epukeni mikopo Najuta sitarudia tena!
  3. Y

    Msaada: Interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na BoT ikoje? Huwa inakuwa na maswali ya aina gani?

    Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)? Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza? Kwa anayejua anisaidie.
  4. Zulu Man Tz

    Zijue Sababu Za Kuporomoka Kwa Nafasi Ya Tanzania Kwenye Global Crypto Adoption Index

    Heri ya X-Max na Mwaka Mpya Ndugu zang wa JF 🙌🎄🥂, Maana Ya Global Crypto Adoption Index. Hiki ni kipimo kimevumbuliwa na kampuni ya utafiti wa sarafu mtandao Ulimwenguni uitwao Chainalysis. Lengo haswa ya hii farisihi ni kupima je ni nchi gani watu wake wanaweka fedha kwa wingi kwenye sarafu za...
Back
Top Bottom