Kwanza kabisa niwapongeze kwa kuwa na usafiri mzuri na wa uhakika ila niwape ushauri kidogo.
Hata kama ni daraja la Economy tambueni kuna watoto, wazee na wanaohitaji msaada. Tiketi hata za basi siku hizi kuna namba ya siti ila kwenye boti zenu daraja la economy kiukweli mnakose. Boti inajaza...
Jana nimebahatika kufika visiwani kwa tamasha la idhaa za Kiswahili.
Azam ni wazuri kwa huduma hongera sana. Kitu moja sijapenda bendera ya taifa imechakaa sana . Nendeni GPSA zipo zinauzwa.
Bendera iheshimiwe hii inawakilisha mahali palipo na giza kama mwenge wetu tunu ya Taifa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.