boys

A boy is a young male human. The term is usually used for a child or an adolescent. When a male human reaches adulthood, he is described as a man.

View More On Wikipedia.org
  1. RS Berkane (The Oranges Boys) Special Thread

    RS Berkane Renaissance Sportive de Berkane (Arabic: النهضة الرياضية البركانية) commonly known as Nahdat Berkane or RS Berkane for short, is a Moroccan sports club based in Berkane, Morocco. The club's football team is currently playing in the first division of Moroccan championship Botola. The...
  2. B

    Songea boys, shule kongwe iliyosahaulika

    Hello guys, Wale wote Songea Almun tukutane tufanye jambo kwa shule yetu, tuna jambo la kufanya. Tunaanzisha WhatsApp group yetu
  3. Chill with Big Boys

    big boys
  4. When boy introducing his girlfrend to his boys

    Boy introducing his 95th girlfriend to his boys HIS BOYs: hatujui hata umempa nini broh wetu hatujawahi muona akiwa kwenye love like this Alafu Girl nae Anajibu: ' ni mapenzi tu' 😅😅😅
  5. #COVID19 Rais Samia: Nimeona Afisa Afya Tunduru akipita nyumba kwa nyumba kuchanja, suala hili lisifanyike kwa mabavu

    Samia amesema anaunga mkono chanjo ya nyumba kwa nyumba inayopendekezwa na mkuu wa mkoa wa mbeya. Swali hizo cost zinazotumika kulazimisha watu wachanjwe zinatoka wapi? Kwanini pesa zisielekezwe kwenye mambo mengine ya msingi. Mama wanaomshauri wanamponza Sana. --- Rais Samia Suluhu...
  6. Boys to men ya 1995 wamerudi, tujipange

    Mwaka 1995 kama asingekuwa Nyerere boys to men walikuwa tayari wamechukua nchi. Akawapiga chini ila Kuna mambo mengi yaliendelea mpaka kifo chake mwaka 1999 hapo ndio lobbying ilifanyika wakaingia ulingoni na kuanza kumtishia Mkapa akaanza kubinafsisha kila kitu. Ukiona leo Bei ya unit 1 ya...
  7. Hii ilikuwa mwaka 2008, shule ya bweni ya wavulana "Bwiru boys sec" walitucharaza bakora

    Tulicharazwa bakora na wanafunzi wa sekondari ya bweni "Bwiru Boys". ILIKUWA HIVI... Kulikuwa na upinzani mkali wa kabumbu kwa timu za shule kati ya shule yetu ya sekondari yaani "KITANGIRI SEC" na shule ya bweni ya wavulana yaani "BWIRU BOYS SEC". Bwiru Boys wana viwanja viwili vya mpira...
  8. Afcon U-17: Serengeti boys kukipiga dhidi ya Nigeria

    Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya fainali za AFCON U-17 Serengeti Boys inayoiwakilisha Tanzania, katika mchezo wa kwanza itakipiga dhidi ya Nigeria siku ya tarehe 14 mwezi huu Tanzania ipo Kundi B pamoja na timu...
  9. TANZIA Head Master wa Bwiru Boys, Elias Kaboja afariki dunia

    Habari wanajukwaa, Shule kongwe ya ufundi ya Bwiru boys imepoteza mwalimu wake mkuu, mwalimu Elias Kaboja. Taarifa zinadai Mwalimu Kaboja alienda kumsalimu mwalimu wake hospitali ya Bugando na alipotoka naye akaugua na alipopelekwa hospitali hakuweza kurejea tena nyumbani.
  10. Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache?

    Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache? "Angalia mtaani/vyombo vya habari/watu unaosikia wamejifungua: utaona miongoni mwa watoto waliozaliwa, watoto wa kiume ni adimu -- watoto wengi wakiwa ni wa kike. " alisikika mtu mzima fulani akiongea. Yana ukweli?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…