Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana amtungia wimbo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mkutano mkuu wa chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika kati ya Januari 18-19, 2025 jijini Dodoma.
Hilo limeelezwa kwa kina na Mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea Na Mwanao baada ya Mkongwe huyo...