Wakuu,
Hivi inakuaje kuaje mpaka unadanganywa kiasi hiki na Artificial Intelligence? Ndo tumefikia huku?
======================
Mwanamke mmoja kutoka Ufaransa alidanganywa na kupoteza zaidi ya $800,000 (zaidi ya TSH bilioni 2) na tapeli aliyejifanya kuwa ni Brad Pitt kwa kutumia picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.