branding

  1. O

    Tunatoa huduma mbalimbali za printing kwa mahitaji tofauti tofauti

    Toka kwenye wazo mpaka utimilifu wa wazo kua bidhaa. Tunatoa huduma mbali mbali za uchapishaji zenye kukidhi mahitaji yako binafsi, biashara, taasisi za kidini n.k Kama kituo kinachojihusisha na huduma za uchapishaji, tunatoa huduma ya uchapaji kwa bidhaa mbalimbali. Iwe unahitaji kuchapa...
  2. Mr_mkisi

    Usitoe ofa bila sababu unapoteza wateja badala yake tumia mbinu hii

    Mara nyingi huwa nakutana na matangazo Mtandaoni yanatangaza bidhaa na kunadi ofa ... Unakutana na Tangazo linasema OFA OFA OFA jipatie ......kwa bei ya ofa ,lakini ukiangalia sababu za yeye kutoa ofa hana . Hili ni kosa kubwa wanalofanya wafanya biashara wengi bila wao kujua . Dunia ya sasa...
  3. Phovix

    Mtaalamu wa matangazo, graphics, branding & social media management

    Bila Shaka Haujambo Na Unaendelea Vizuri! Kwa Majina Mi Ni Max Ernest Ni Mtaalamu Wa Graphics, Branding & Social Media Management. Nimebarikiwa Zaidi Katika Uandaaji Wa Matangazo! Hapa Namaanisha Matangazo Mazuri Ya Video Na Sauti! Kulingana Na Uzoefu Katika Industry Hii Sifa Nyingi Na Namna...
  4. GENTAMYCINE

    Kuna Timu itafanya Tamasha lake huku Branding nzima ya Uwanja bado ikiwa ni ya Timu iliyotangulia kufanya Tamasha

    Siku zingine tumieni Akili haiwezekani Mwenzako anafanya Tamasha lake leo na unajua kabisa kuwa Uwanja utakuwa Busy, Matukio ni mengi na Branding nazo zikiwa za kila aina ambazo hata Kuziondoa nazo huchukua muda halafu na Wewe unataka ufanye Tamasha lako Kesho yake. Kuna aina fulani ya Usumbufu...
  5. BARD AI

    Lakini kusema ukweli Zuhura hakutosha ile nafasi! Kitu pekee aliongeza ni Press tu, kwenye Branding alifeli

    Ukifuatilia kwa siku kadhaa tangu Rais aende Korea Kusini, Idara ya Mawasiliano ya Rais haikuwa ikifanya kazi yake ipasavyo hasa kwa taarifa muhimu za kuja Tanzania. Hata mkanganyiko uliotokea VOA ulitokana na kusuasuaa kwa kitengo cha propaganda kwenye mawasiliano kati ya Ratiba za Mama na...
  6. Eric Cartman

    what is branding

    Branding in marketing maana yake ni kutengeneza bidhaa ambayo wateja wanakuja kuizoea. Psychologically Branding is very important because it’s what your customers become associated with and expect reliably. Ndio maana Facebook, Twitter miaka mingi zipo vilevile. Wanachofanya ni kuongeza...
  7. SantaPrint

    Nguvu iliyoko kwenye branding na kwa nini unatakiwa kujibrand bila ukomo

    Umewahi kujiuliza pamoja na ukubwa wote kampuni kama ya coca cola kwa nini bado wanaendelea kujitangaza? 👉Idadi ya vinywaji vya Coca-Cola vinavyonyweka kwa siku moja ulimwenguni kote inakadiriwa kua billion 1.9 ila dunia ina watu zaidi ya billion 7 hivo Kuna watu billion 6.1 ambao wanakua...
  8. Masokotz

    Personal branding 101

    Miaka takribani 25 iliyopita nikiwa kijana mdogo sana nilibahatika kuwa kiongozi wa watoto wenzangu.Haukuwa uongozi mkubwa kwani ilikuwa ni kanisani na nilikuwa nasimamia zaidi ya vijana wadogo 100.Kwa kweli sikuwa na mafunzo wala uzoefu wowote ule wa kiongozi na umbo na umri wangu ulikuwa ni...
  9. wazirib28

    Professional Logo & Brand Identity Design

    Habari! Mimi ni Creative Logo & Brand Identity Designer mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika hii tasnia. Nimebobea katika kutengeneza professional, simple and clean logos kwasababu ninaamini logo ni image ya brand yoyote ile na itadumu kwa muda mrefu na pia itatakiwa kutumika katika...
Back
Top Bottom