breakfast

Breakfast is the first meal of the day usually eaten in the morning. The word in English refers to breaking the fasting period of the previous night. Various "typical" or "traditional" breakfast menus exist, with food choices varying by regions and traditions worldwide.

View More On Wikipedia.org
  1. Live from Stanbic Biashara Incubator,Acacia Building: Policy Forum Breakfast Debate: Illicit Financial Flows (A Burden to Tanzania National Budget

    Wanabodi, Niko hapa jengo la Acacia, kwenye Stanbic Biashara Incubator, kuhudhuria debate ya Policy Forum kwenye Breakfast kujadili kuhusu kitu kinachoitwa Illicit Financial Flows (A Burden to Tanzania National Budget. Hapa tunajadili jinsi Tanzania tunavyoibiwa mi fwedha ya kutosha kupitia...
  2. Bubur Ayam inaweza kuwa kifungua kinywa bora zaidi baada ya English breakfast.

    Hii breakfast ya Indonesia( wenyewe wanaiita Bubur Ayam) inaonekana ni bora sana. Wapi Dar es Salaam kuna mgahawa wa Ki-Indonesia nikaijaribu?
  3. Godbless Lema live Power Breakfast tarehe 23/01/2025

    Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Godbless Lema anatarajiwa kuwa live kesho Clouds FM katika kipindi cha Power Breakfast. Mara ya mwisho mahojiano yake katika kipindi hicho yalishindikana kufanyika. https://www.jamiiforums.com/threads/godbless-lema-kutikisa-power-breakfast.2192804/
  4. Power breakfast live wamuhoji Tundu lissu

    Mahojiano yameanza dk.20 na.yanaendelea live power breakfast ua.clouds na Tundu lissu. Tutajazia nyama yanavyoendelea
  5. Breakfast battle

    BIla shaka wote mko vyema Hebu dondosha menu yako ya kifungua kinywa ambayo unaikubali sana. Kuanzia breakfast za kishua mpaka zile za watu kawaida Me: Chapati mayai za kumimina>>> kifungua kinywa chochote
  6. Breakfast yako kuu kwa sasa ni ipi?

    Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa sasa ndo ipo on chart bila kuchoka Maharage na Juice ya passion. Kwanini kwanza navikubali vitu hivo...
  7. Ndege JOHN nakupa mchongo uufanyie kazi, deal na breakfast ya vyakula vya asili

    Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji ya kutosha na yanayovutia bila kusahau jiko kubwa la gas na friji liwepo. Asubuhi nenda sokoni...
  8. Jaribu kula hii Olympic breakfast ya maana kweli kweli .

    Inakuwa na mchanganyiko wa Soseji Mayai mawili ya kukaanga Uyoga Viazi vilivyokaangwa vikakauka vizuri ama chips Nyanya kipande unaila ikiwa mbichi Maharage yasiyokaangwa steak ndogo ya kipande cha nyama sio mbaya sana Mkate pia ukiweka slace mbili sio kesi.
  9. Godbless Lema kutikisa Power Breakfast

    Nabii wa Mungu , ambaye pia ndio mbunge ajaye wa Arusha Mjini , Godbless Lema atakuwepo Clouds FM kwenye kile kipindi chao kinachoitwa Power Breakfast . Nabii Lema ambaye hakuna unabii wake ambao haukutimia anatarajiwa kuleta unabii mwingine ambao hautachukua muda mrefu kabla ya kutimia , ni...
  10. Kamanda Muliro kwenye Power Breakfast umekwepa ila ni majukumu yako, nina swali kwako

    Leo nimesikiliza kipindi cha Clouds Power Breakfast lakini kwa jinsi ulivojaribu kulinda heshima ni kweli sio jambo zuri kuwa wazi ni kuchonganisha raia na jeshi la polisi. Lakini swali la kujiuliza ni ili WATU WANATEKANAJE? Kumekuwa na malalamiko ya utekaji kwa kutumia jeshi la polisi au kwa...
  11. Kwa sasa kipindi cha mahojiano cha kusikiliza ni Power Breakfast cha Clouds FM

    Angalau wanajitahidi kuhoji vitu vyenye maslahi na nchi. Leo wamembananisha sana yule afsa wa NIDA mpaka nimefurahi. pia wamehoji vizuri lile swala la fine ya 75b. Hawa ndo wanastahili teuzi kama kweli mamlaka za uteuzi ziko makini. Achana na takataka zingine kazi kujikomba komba tu ili...
  12. Umuhimu wa kifungua kinywa katika kuianza siku mpya

    Kupata kifungua kinywa ni namna nzuri ya kuianza siku yako, huupa mwili nishati ya kutosha unapoanza kuyakabili majukumu ya siku mpya. Kwa wanafunzi, tafiti za kisayansi zinaonesha umuhimu wa mlo huu kwenye kuongeza uwezo wa ubongo katika kufikiri, kutunza kumbukumbu, kushiriki kikamilifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…