Tiketi za tamasha la Chris Brown ‘Breezy in South Africa’ katika Uwanja wa FNB, Johannesburg, zimeuzwa zote, huku tukio hilo kubwa likitarajiwa kufanyika tarehe 14 Desemba. Hili ni moja ya matukio yanayosubiriwa kwa hamu, ambapo mashabiki wamenunua tiketi kuanzia shilingi 94,000 hadi 800,000...