Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni BRELA leo tarehe 13 Julai, 2026 imetunukiwa tuzo ya kuwa Taasisi Bora kwa kuwezesha biashara kwenye Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam (Sabasaba).
BRELA imekabidhiwa tuzo hiyo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...