Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amewapiga marufuku watendaji wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), wenye tabia ya kuuza siri za wateja na kuwasababishia matatizo.
Amesema kuwa haiwezekani mtumishi wa BRELA akachukua data na siri za kampuni akaenda kuuza kwa watu...