Kundi la nchi za BRICS linaendelea kupanuka, na likiwa sasa limeongeza nchi washirika mwezi Januari mwaka huu wa 2025, baada ya kuingiza wanachama wapya mwaka jana. Sasa kundi hili lina takriban ya nusu ya idadi ya watu duniani na zaidi ya 41% ya Pato la Taifa (GDP), ambapo limekuwa nguvu ya...
Wakati Trump anamsubiria Narendra Modi Waziri mkuu wa India kufika White House Trump akawa anapiga story na waandishi wa habari, wakumuuliza vipi kuhusu BRICS, amewajibu kwa tambo na makeke sana.
Trump anasema BRICS imekufa baada ya kauli yake kuwaambia wakigusia tu kwenye vikao vyao wanataka...
Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
Muungano wa BRICS ambao ulianzisha ajenda ya kuondoa dola ya kimarekani sasa uko chini ya rehema ya dola ya Marekani mwaka wa 2025.
Dola ya Marekani ilisalia katika kijani kibichi kwa siku tisa mfululizo katika faharasa ya DXY na kukanyaga sarafu nyingine za ndani. Rupia ya India imeshuka hadi...
Nchi za Brics juzi hapa zilikuja na mpango wa kuanzisha sarafu yake na kuachana na matumizi ya Dollar kwenye miamala yao. Wiki iliyopita Trump alitishia kuwawekea vikwazo BRICS kama wataendelea na mpango wao wa kuachana na matumizi ya Dollar.
Leo waziri mkuu wa India amesema wao hawajawahi kua...
Dollar ni sarafu ya Marekani na inayotumiwa na Dunia nzima licha ya kuwepo sarafu mbali mbali zinazoundwa na baadhi ya umoja wa nchi mbalimbali kama Africa Mashariki, Umoja wa Ulaya n.k na lengo moja wapo ni sarafu hiyo itumike kibiashara kwenye nchi hizo
Sarafu mpya ya mataifa ya BRICS, ni...
Nchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members)
1. 🇧🇷 Brazil
2. 🇷🇺 Russia
3. 🇮🇳 India
4. 🇨🇳 China
5. 🇿🇦 South Africa
6. 🇦🇪 UAE
7. 🇮🇷 Iran
8. 🇪🇬 Egypt
9. 🇪🇹 Ethiopia
Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries)
10. 🇩🇿 Algeria
11. 🇧🇾 Belarus
12. 🇧🇴 Bolivia
13.🇨🇺 Cuba...
Russia kwa nini isiitumie BRICS kuipinga Israel na kutumia nguvu ya kijeshi waliyonayo kuiunga mkono ama Hezbollah au Hamas dhidi ya Israel?
Maana Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya na washirika wao wanaiunga mkono Israel.
Ni kitu kimeshitusha wengi baada ya India kukataa uturiki kujiunga ndani ya brics, kwa sababu uturuki na Pakistan ni kitu kimoja.
Hata hivyo Pakistan nayo iliomba kujiunga ila India ilikataa.
https://x.com/TimesAlgebraIND/status/1849545656525803745?t=uHWcI-n4FR2iMTGmlxgAfw&s=19
Hata raisi wa...
Mkutano wa nchi za BRICS ulifanyika mjini Kazan, Russia wili iliyopita ikiwa ni mara ya kwanza kwa kundi hilo kukutana kwa jina la BRICS Plus, ikiwa na maana kuwa uanachama wa kundi hilo umepanuka kutoka wanachama watano wa awali (Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini) hadi wanachama...
Mkutano wa kilele wa BRICS umefanyika kuanzia Oktoba 22 hadi 24 huko Kazan, nchini Russia, ukiwa ni wa kwanza baada ya kundi hilo kuongeza nchi wanachama, na hivyo kufuatiliwa sana na jamii ya kimataifa.
Kundi la BRICS, ambalo ni kifupi cha majina ya nchi zinazoibuka kiuchumi na senye matarajio...
Wakuu Habari
Nilikuwa huko Twitter (X) na katika kupita pita kwangu nikakutana na hii habari ya Iran kuungana rasmi na umoja wa mataifa yaliyopo katika muungano wa Brics , kubwa zaidi lilo nivutia sio Iran Tu kuwa mwanachama wa Brics kumbe kuna mataifa kibao ambayo na yenyewe yapo katika...
Viongozi wa Mataifa makubwa Duniani wakutana Nchini urusi katika mji wa Kazan.
BRICKS ilianzishwa kwa lengo la kuvunja mnyororo wa kinyonyaji wa nchi za magharibi zikiongozwa na USA.
Malengo ni mengi lakini kwa kuanzia ni biashara baina ya nchi wanachama, matumizi ya mfumo wa malipo wa...
Kwa muda mrefu Tanzania tulijiweka katikati ya dunia kupitia siasa ya nje ya kutofungamana na upande wowote, sera hii imetuchelewesha sana kwakuwa hakuna anaetuamini kwa 100% badala yake tuko 50/50. Hii imesababisha kukosa fursa nyingi kutoka Magharibi na Mashariki na Asia (waisalamu).
Kenya...
Ni miaka miwili imepita sasa tangu umoja wa BRICS kuanza kusaka na kutafuta mfumo mbadala na huru wa wa malipo ya kifedha ambayo itatumika kufanya manunuzi na kulipia bidhaa mbali mbali baina ya nchi wanachama wa BRICS.
Huu ni moja ya mpango kabambe wa kuondoa utegemezi wa mfumo wa kimagharibi...
The BRICS trading system is already wiping out US farmers, as global price discovery is destroyed (2024.08.29)
Millions of tons of annual agricultural trade is now being conducted OUTSIDE the US dollar, and within the new BRICS framework.
Mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliomalizika juma lililopita nchini Venezuela, Bwana Nicholas Maduro amepewa mualiko wa kuudhuria mkutano mkuu wa BRICS(jumuiya mpya inayokuwa kwa kasi zaidi duniani), utakofanyika katika mji wa Kazan-Urusi mwezi Oktoba mwaka huu.
Mualiko huu unaweza...
Mkutano wa Mawaziri wa Kundi la BRICS umefanyika kuanzia Juni 10 hadi 11 huko Nizhny Novgorod, nchini Russia. Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi alihudhuria mkutano pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za BRICS na wawakilishi kutoka Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai na ASEAN. Pia...
Turkey would like to join BRICS and this issue will be discussed at the group’s ministerial meeting in Nizhny Novgorod, Turkish Foreign Minister Hakan Fidan said during his visit to China.
"Certainly, we would like to become a member of BRICS. So we’ll see how it goes this year," the South...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.