brics

BRICS is the acronym coined to associate five major emerging economies: Brazil, Russia, India, China, and South Africa. The BRICS members are known for their significant influence on regional affairs. Since 2009, the governments of the BRICS states have met annually at formal summits. Russia hosted the most recent 13th BRICS Summit on 9 September 2021 virtually due to the COVID-19 pandemic.
Originally the first four were grouped as "BRIC" (or "the BRICs") before the induction of South Africa in 2010. The BRICS have a combined area of 39,746,220 km2 (15,346,101.0 sq mi) and an estimated total population of about 3.21 billion, or about 26.656% of the world land surface and 41.53% of the world population. Four out of five members are among the world's ten largest countries by population and by area, except for South Africa, the twenty-fourth in both.
Members of G20, as of 2018, these five states had a combined nominal GDP of US$19.6 trillion, about 23.2% of the gross world product, a combined GDP (PPP) of around US$40.55 trillion (32% of the world's GDP PPP), and an estimated US$4.46 trillion in combined foreign reserves. The BRICS have received both praise and criticism from numerous commentators. Bilateral relations among BRICS states are conducted mainly based on non-interference, equality, and mutual benefit. The existence of the BRICS grouping does not signify a formal or informal alliance; there are multiple economic, territorial, and political disputes between the five governments.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Kupanuka kwa kundi la BRICS na kuongezeka kwa pato lake la jumla kunaweza kuleta changamoto kwa mataifa ya Magharibi

    Kundi la nchi za BRICS linaendelea kupanuka, na likiwa sasa limeongeza nchi washirika mwezi Januari mwaka huu wa 2025, baada ya kuingiza wanachama wapya mwaka jana. Sasa kundi hili lina takriban ya nusu ya idadi ya watu duniani na zaidi ya 41% ya Pato la Taifa (GDP), ambapo limekuwa nguvu ya...
  2. Trump: BRICS imekufa, imesambaratika, wenyewe wanaona aibu kusema tu!

    Wakati Trump anamsubiria Narendra Modi Waziri mkuu wa India kufika White House Trump akawa anapiga story na waandishi wa habari, wakumuuliza vipi kuhusu BRICS, amewajibu kwa tambo na makeke sana. Trump anasema BRICS imekufa baada ya kauli yake kuwaambia wakigusia tu kwenye vikao vyao wanataka...
  3. I

    Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

    Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
  4. I

    Dola ya Marekani inavyonyanyasa sarafu mbalimbali duniani kwa mwaka 2025 na kufanya ndoto ya Brics kufifia kabisa

    Muungano wa BRICS ambao ulianzisha ajenda ya kuondoa dola ya kimarekani sasa uko chini ya rehema ya dola ya Marekani mwaka wa 2025. Dola ya Marekani ilisalia katika kijani kibichi kwa siku tisa mfululizo katika faharasa ya DXY na kukanyaga sarafu nyingine za ndani. Rupia ya India imeshuka hadi...
  5. T

    Baada ya Trump kutishia kuiwekea vikwazo BRICS kwa kuachana na matumizi ya Dollar, India imesema yenyewe haina mpango wa kuacha matumizi ya Dola

    Nchi za Brics juzi hapa zilikuja na mpango wa kuanzisha sarafu yake na kuachana na matumizi ya Dollar kwenye miamala yao. Wiki iliyopita Trump alitishia kuwawekea vikwazo BRICS kama wataendelea na mpango wao wa kuachana na matumizi ya Dollar. Leo waziri mkuu wa India amesema wao hawajawahi kua...
  6. Sarafu mpya ya BRICS ina umiliki wa Nchi moja wapo au ni mfano wa Sarafu ya EURO ya Ulaya? Itashindana vipi na Dollar isiyo na mipaka wanachama?

    Dollar ni sarafu ya Marekani na inayotumiwa na Dunia nzima licha ya kuwepo sarafu mbali mbali zinazoundwa na baadhi ya umoja wa nchi mbalimbali kama Africa Mashariki, Umoja wa Ulaya n.k na lengo moja wapo ni sarafu hiyo itumike kibiashara kwenye nchi hizo Sarafu mpya ya mataifa ya BRICS, ni...
  7. Kumbe Uganda ni official BRICS + Partner Country!

    Nchi wanachama rasmi wa BRICS (Full BRICS Members) 1. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil 2. ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ Russia 3. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India 4. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China 5. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ South Africa 6. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ช UAE 7. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran 8. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt 9. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น Ethiopia Nchi maswahiba rasmi wa BRICS (Official BRICS Partner Countries) 10. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Algeria 11. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡พ Belarus 12. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ด Bolivia 13.๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡บ Cuba...
  8. Kwa nini Russia isiiongoze BRICS kuipinga Israel.

    Russia kwa nini isiitumie BRICS kuipinga Israel na kutumia nguvu ya kijeshi waliyonayo kuiunga mkono ama Hezbollah au Hamas dhidi ya Israel? Maana Marekani na baadhi ya nchi za Ulaya na washirika wao wanaiunga mkono Israel.
  9. R

    India imekataa Uturuki kujiunga BRICS

    Ni kitu kimeshitusha wengi baada ya India kukataa uturiki kujiunga ndani ya brics, kwa sababu uturuki na Pakistan ni kitu kimoja. Hata hivyo Pakistan nayo iliomba kujiunga ila India ilikataa. https://x.com/TimesAlgebraIND/status/1849545656525803745?t=uHWcI-n4FR2iMTGmlxgAfw&s=19 Hata raisi wa...
  10. L

    Mkutano wa BRICS waonesha mtazamo wa nchi mbalimbali duniani kutopenda uhasama

    Mkutano wa nchi za BRICS ulifanyika mjini Kazan, Russia wili iliyopita ikiwa ni mara ya kwanza kwa kundi hilo kukutana kwa jina la BRICS Plus, ikiwa na maana kuwa uanachama wa kundi hilo umepanuka kutoka wanachama watano wa awali (Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini) hadi wanachama...
  11. L

    Ni kwa sababu gani BRICS inavutia sana Dunia ya Kusini?

    Mkutano wa kilele wa BRICS umefanyika kuanzia Oktoba 22 hadi 24 huko Kazan, nchini Russia, ukiwa ni wa kwanza baada ya kundi hilo kuongeza nchi wanachama, na hivyo kufuatiliwa sana na jamii ya kimataifa. Kundi la BRICS, ambalo ni kifupi cha majina ya nchi zinazoibuka kiuchumi na senye matarajio...
  12. Putin ni cancer Kwa USA na washirika, Brics Yazidi kuchanua Mabawa

    Wakuu Habari Nilikuwa huko Twitter (X) na katika kupita pita kwangu nikakutana na hii habari ya Iran kuungana rasmi na umoja wa mataifa yaliyopo katika muungano wa Brics , kubwa zaidi lilo nivutia sio Iran Tu kuwa mwanachama wa Brics kumbe kuna mataifa kibao ambayo na yenyewe yapo katika...
  13. Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

  14. BRICS 2024: Viongozi wa Mataifa makubwa Duniani wakutana mjini Kazan, Urusi

    Viongozi wa Mataifa makubwa Duniani wakutana Nchini urusi katika mji wa Kazan. BRICKS ilianzishwa kwa lengo la kuvunja mnyororo wa kinyonyaji wa nchi za magharibi zikiongozwa na USA. Malengo ni mengi lakini kwa kuanzia ni biashara baina ya nchi wanachama, matumizi ya mfumo wa malipo wa...
  15. Tanzania tusiwe mbali na BRICS, tutachelewa

    Kwa muda mrefu Tanzania tulijiweka katikati ya dunia kupitia siasa ya nje ya kutofungamana na upande wowote, sera hii imetuchelewesha sana kwakuwa hakuna anaetuamini kwa 100% badala yake tuko 50/50. Hii imesababisha kukosa fursa nyingi kutoka Magharibi na Mashariki na Asia (waisalamu). Kenya...
  16. BRICS yafanya demo ya mfumo wa malipo kwa kadi (BRICS payment system cards) ikiwa ni maandalizi ya mfumo mpya wa malipo BRICS Pay

    Ni miaka miwili imepita sasa tangu umoja wa BRICS kuanza kusaka na kutafuta mfumo mbadala na huru wa wa malipo ya kifedha ambayo itatumika kufanya manunuzi na kulipia bidhaa mbali mbali baina ya nchi wanachama wa BRICS. Huu ni moja ya mpango kabambe wa kuondoa utegemezi wa mfumo wa kimagharibi...
  17. The BRICS Trading System Is Arleady Wiping Out US Dollar.

    The BRICS trading system is already wiping out US farmers, as global price discovery is destroyed (2024.08.29) Millions of tons of annual agricultural trade is now being conducted OUTSIDE the US dollar, and within the new BRICS framework.
  18. Habari njema: Venezuela yaalikwa mkutano ujao wa BRICS+

    Mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliomalizika juma lililopita nchini Venezuela, Bwana Nicholas Maduro amepewa mualiko wa kuudhuria mkutano mkuu wa BRICS(jumuiya mpya inayokuwa kwa kasi zaidi duniani), utakofanyika katika mji wa Kazan-Urusi mwezi Oktoba mwaka huu. Mualiko huu unaweza...
  19. L

    Ushirikiano wa BRICS unakuwa na manufaa zaidi kutokana na ujumuishi

    Mkutano wa Mawaziri wa Kundi la BRICS umefanyika kuanzia Juni 10 hadi 11 huko Nizhny Novgorod, nchini Russia. Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi alihudhuria mkutano pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za BRICS na wawakilishi kutoka Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai na ASEAN. Pia...
  20. Uturuki mbioni kujiunga BRICS

    Turkey would like to join BRICS and this issue will be discussed at the groupโ€™s ministerial meeting in Nizhny Novgorod, Turkish Foreign Minister Hakan Fidan said during his visit to China. "Certainly, we would like to become a member of BRICS. So weโ€™ll see how it goes this year," the South...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ