brics

BRICS is the acronym coined to associate five major emerging economies: Brazil, Russia, India, China, and South Africa. The BRICS members are known for their significant influence on regional affairs. Since 2009, the governments of the BRICS states have met annually at formal summits. Russia hosted the most recent 13th BRICS Summit on 9 September 2021 virtually due to the COVID-19 pandemic.
Originally the first four were grouped as "BRIC" (or "the BRICs") before the induction of South Africa in 2010. The BRICS have a combined area of 39,746,220 km2 (15,346,101.0 sq mi) and an estimated total population of about 3.21 billion, or about 26.656% of the world land surface and 41.53% of the world population. Four out of five members are among the world's ten largest countries by population and by area, except for South Africa, the twenty-fourth in both.
Members of G20, as of 2018, these five states had a combined nominal GDP of US$19.6 trillion, about 23.2% of the gross world product, a combined GDP (PPP) of around US$40.55 trillion (32% of the world's GDP PPP), and an estimated US$4.46 trillion in combined foreign reserves. The BRICS have received both praise and criticism from numerous commentators. Bilateral relations among BRICS states are conducted mainly based on non-interference, equality, and mutual benefit. The existence of the BRICS grouping does not signify a formal or informal alliance; there are multiple economic, territorial, and political disputes between the five governments.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Kwanini BRICS inavutia sana nchi za Afrika?

    Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika Johannesburg, Afrika Kusini kuanzia tarehe 22 hadi 24 mwezi ujao. Ukiwa chini ya kaulimbiu ya "BRICS na Afrika: Ushirikiano wa Wenzi wa Ukuaji wa Kasi ya Pamoja, Maendeleo Endelevu na Utaratibu Shirikishi wa Pande Nyingi", mkutano huo utaangalia...
  2. Russia confirms "BRICS" will launch Gold-Backed currency

    Breaking news: Russia confirms "BRICS" to launch Gold-Backed Currency 07 JULY 2023 Breaking news: Russia Confirms "BRICS" To Launch Gold-Backed Currency According to state-run Russian Television (RT), the Russian Government HAS CONFIRMED Brazil, Russia, India, China and South Africa, known as...
  3. Umoja wa BRICS watishia umoja wa UN na maslahi ya USA

    Umoja wa kundi la kiuchumi la BRICS lililoasisiwa na China na Urusi limeonekana kukua na kutishia uhai wa umoja wa mataifa na maslahi ya taifa la Marekani. Hayo yameeleweka wakati umoja huo ukikaribia kufanya kikao chake mwezi Juni mwaka huu huko Afrika Kusini.. Balozi wa BRICS wa Afrika...
  4. Mexico inataka kujiunga BRICS

    Mexico ambyo ni jirani wa karibu zaidi na marekani inafikiria kujiunga na muungano wa BRICS (Brazil, Russia, India, China, na Afrika Kusini) huku uhusiano wao na marekani ukiendelea kudhoofika chini ya utawala wa Joe Biden. === JUST IN: Mexico Considering Joining BRICS as Relationship Weakens...
  5. Je, Unafikiriaje kuanzishwa kwa Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS italeta manufaa?

    Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS. Nchi za BRICS zinaripotiwa kufanya kazi katika kuunda aina mpya ya sarafu na mpango wa kuwasilisha maendeleo yake katika mkutano wa kilele wa viongozi wa BRICS mnamo Agosti mwaka huu, Naibu Mwenyekiti wa Jimbo la Duma Alexander Babakov alisema Alhamisi kando ya...
  6. Je, Tanzania tupo tayari; BRICS nations offer alternative to West

    A new world order? BRICS nations offer alternative to West. Mataifa yanayojumuisha umoja wa BRICS — Brazil, Russia, India, China, South Africa yamejipanga ili kutoa mbadala wa mfumo uliopo wa fedha kimataifa na na majarida makubwa ya kisiasa. Mfumo wa kimataifa wa fedha wa sasa unaendeshwa sana...
  7. BRICS pigo kwa Marekani. Kamala Harris atembelea Afrika kimkakati

    BRICS imekua ni gumzo huko MAREKANI. Huku kukiwa na hofu ya MAREKANI kupoteza ushawishi Duniani. Inatarajiwa nchi nyingi za Asia zinazo zalisha mafuta zimeomba kujiunga na BRICS. Pia nchi zote za Africa zikiongozwa na South Africa zitajiunga. Marekani amepoteza ushawishi Saud Arabia. Na kufanya...
  8. L

    Nchi nyingine kuomba uanachama wa kundi la BRICS kunaonesha mvuto wa kundi hilo duniani

    Fadhili Mpunji Katika siku za hivi karibuni Argentina na Iran zimetangaza kuomba uanachama wa kundi la BRICS ambalo kwa sasa linajumuisha Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini. Tangu mwaka 2009 kundi hilo lilipoanzishwa limetoa mchango mkubwa kwa nchi wanachama katika kuhimiza...
  9. M

    China yawakejeli G7, yasema G7 ni muungano wa watu wachache ukilinganisha na BRICS

    G7 wanajinasibu kama International community na wanajidanganya kutaka kuiburuza dunia ifuate matakwa yao kwa lazima kwa vitishio vya vikwazo. China imewaambia G7 wakumbuke kuwa wakati wanawakilisha watu 777,000,000 duniani kuna BRICS (Brazil, Russia, India, China na South Africa)...
  10. BRICS VS G7

    BRICS ECONOMY: 27 USD trillion POPULATION: 3.2 Billion people G7 ECONOMY: 45 USD trillion POPULATION: 700 million people West wameshindikana
  11. L

    Ushirikiano wa BRICS waleta fursa mpya kwa Afrika

    Mkutano wa 14 wa viongozi wa nchi za BRICS utafanyika hapa Beijing kwa njia ya mtandao. Kaulimbiu ya mwaka huu ya BRICS ni “Kujenga uhusiano wa kiwenzi wa hali ya juu, kuanzisha kwa pamoja zama mpya ya maendeleo ya kimataifa”. Likiwa jukwaa la ushirikiano kati ya nchi zinazoendelea, BRICS...
  12. L

    Mkutano wa BRICS unafanyika China huku dunia ikipewa fursa mbalimbali za kujikuza kiuchumi

    Pili Mwinyi Mkutano wa 14 wa wakuu wa nchi za BRICS zikiwemo Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini unatazamiwa kuanza tarehe 22 Juni hadi 24 Juni hapa Beijing, na safari hii utafanyika kwa njia ya mtandao wa internet. Mwaka huu, mkutano huu utazingatia jinsi ya kutekeleza ajenda ya...
  13. L

    BRICS bado iko imara licha ya changamoto ya COVID-19 na mgogoro wa Ukraine

    Caroline Nassoro Janga la COVID-19 limekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa nchi mbalimbali duniani, kwani katika kudhibiti maambukizi, hatua kadhaa za lazima zilichukuliwa, ikiwemo kufunga shughuli za biashara na kijamii, jambo lilivuruga mwelekeo wa uchumi wa nchi mbalimbali na dunia kwa...
  14. L

    Mkutano wa kundi la BRICS unatarajiwa kuleta msukumo mpya kwenye kukabiliana na changamoto za dunia

    Mkutano wa 13 wa nchi za kundi la BRICS (Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini) unafanyika leo kwa njia ya video. Mkutano huo unafanyika chini ya uenyekiti wa India, ambayo ndio mwenyekiti wa zamu wa mkutano huo. Viongozi wa nchi hizo watashiriki kwenye mkutano huo, na rais Xi Jinping...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…