brigedia jenerali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Brigedia Jenerali, Mndolwa: Wananchi kuongozwa na kiongozi mmoja, haimaanishi kwamba hawana akili, kiongozi bora anakubali ushauri wa wananchi

    Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani viongozi wanasaidia kusimamia kanuni ambazo zimekubalika, na kanuni hizo haziwezi kusimamiwa na watu...
  2. U

    Je, kuna vigezo au sifa zipi kikanuni Kanali wa Jeshi anatakiwa awe navyo ili aweze kupandishwa cheo kuwa Brigedia Jenerali?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu. Kwa mujibu wa Kanuni za kijeshi Kanali anatakiwa awe na vigezo au sifa zipi ili kusudi apandishwe cheo na kuwa Brigedia Jenerali? Je, inaweza kutokea akapandishwa cheo bila kuzingatia Kanuni hizo za kijeshi? Nasisitiza vigezo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…