Hii ni moja ya timu zinazonivutia sana kwenye ligi kuu uingereza nje ya kushabikia Chelsea. Sera yao ni kukuza na kulea vipaji pamoja na kuuza kama anapatikana mteja. Kinachonivutia zaidi ni namna wanaweza kusumbua vigogo na kutawala kwa kiasi fulani ligi ya EPL japo wanakua wamepitia vipindi...
Arsenal imefanikiwa kuwa namba moja katika Premier League baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Brighton huku Aston Villa ambayo nayo imekuwa na msimu mzuri ikishika nafasi ya pili kwa kuifunga Brentford magoli 2-1.
Arsenal imefikisha pointi 39, Aston Villa ikiwa na 38, zote zikiwa zimecheza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.