Wakati wa maonesho ya FIFA Countdown Concert yaliyofanyika jijini Los Angeles, msanii maarufu wa Nigeria Davido alivutia hisia za wengi baada ya kuvaa koti maalum lenye ujumbe "Bring Them Home" na majina ya wanafunzi 39 pamoja na walimu saba waliotekwa nyara kutoka Halmashauri ya Oriire (Oriire...