Wadau wasalaam,Mimi in mwanachama wa mfuko huu,kinachoniumiza ni masharti yanayoumiza yaliyowekwa,kwamfano mtu huna wazazi umelelewa na mjomba au mtu mwingine huruhusiwi kumweka km mtegemezi,toeni ufafanuzi haya ni manyanyaso
Habari zenu wananchi wenzangu.
Nianze kwa kusema nasikitishwa saana na uongozi Wa Mpira kwa kuto tumia TELEVISION YA TAIFA inayo patikana Karibu ving'amuzi vyote katika maonyesho ya MPIRA HASA TIMU ZA TAIFA,
Waoo wamempa Azam , siyo kila mtanzania anauwezo Wa kununua king'umuzi hiki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.