Jamani mimi ni mfugaji nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, lakini nakwama jinsi gani ntapata wapi mayai ya kutotoleshea viranga vya broilers na layers?
Kwa yoyote mwenye ufaham basi naomba muongoza wapi ntayapata hayo mayai na treyi inakua kiasi gani?
Ahsante, naomba kuwasilisha wakuu!
Habari?
Je Kati ya kampuni hizo naomba msaada ipi ni kampuni yenye vifaranga Bora vya kuku wanyama na mayai.
Nataraji kuingia kwenye iyo biashara hivi karibuni.
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.