Jamani mimi ni mfugaji nataka nifanye biashara ya kuuza vifaranga, lakini nakwama jinsi gani ntapata wapi mayai ya kutotoleshea viranga vya broilers na layers?
Kwa yoyote mwenye ufaham basi naomba muongoza wapi ntayapata hayo mayai na treyi inakua kiasi gani?
Ahsante, naomba kuwasilisha wakuu!